ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa
Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea Mhudumu
Kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- Too sad
Mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
Mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa Bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
Hivi tuwafanyie nini jamani?
crying-eye.jpg
 
FL1 mkishaolewa huwa mnapunguza manjolinjo.
 
Hii kawaida Tarime hasa Nyamongo!!
Mwanamme yupo tayari kufa au hata kufungwa gerezani kwasababu ya ngono sio mapenzi jamaa kumbuka hilo, so jamaa hapo shida yake si penzi la barmaid ni ngono tamu alokua anapewa na barmaid maana mapenzi yapo kwa mkewe huyo aliekuaanamlilia kwamba kafuata nini huko!?
 
FL1 mkishaolewa huwa mnapunguza manjolinjo.

si kiivyo KakaJambazi ..mkeo yuko nyumbani amelala matokeo yake analetewa maiti sababu kuu ni ngono...mmh
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie
 
Best hii siyo sababu kubwa ila tatizo letu wanaume tunapenda sana varieties, hata kama mkeo angekuridhisha bado utakuta wengine wanakwenda nje eti kisa ''ya wizi tamu'' jamani ni tamaa tu. Sasa huyu mwenzetu kakimbilia kwa barmaid? Jamani hivi kweli kwa wenzetu mliooa, kama mwenzio hakuridhishi, huwezi kumwambia kuwa ''bado'' hadi ukimbilie mtaani, na ukimwambia kwani atakuona mwenye tamaa au? Apumzike kwa amani!
 
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

MBADILIKE WANAUME
 
Mwanamme rijali huridhika kwa mke wake na hii yote kutoka nje inategemea na malezi,ww jaribu kufikiria mtu hajapitia michezo ya watoto wa kiume katika age fula,haya yatamtokea tu ktk maisha ya ndoa ila kama kumbolela umecheza,kibaba baba n kimama mama umecheza,punyeto umepiga,disko umetoroa ukaenda kucheza,hausi geli ukakanyaga,ukafanya uchafu chafu wote katika umri husika - ukiingia kwenye ndo huwezi kutaka kuruka na malaya au kuiba maana hayo yote utakua ulishayafanya saaaaaaaaana!!
Na chakushangaza ni kwamba sisi wanaume kuridhika sio mpaka ushibe!!
Kiuweli ss huwa tunapenda kuwaridhisha wapenzi zetu - hilo ndo linawaumiza watu wengi!!
 
si kiivyo KakaJambazi ..mkeo yuko nyumbani amelala matokeo yake analetewa maiti sababu kuu ni ngono...mmh
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie

Vitu vingine havipaswi kumfanyia mke wako wa ndoa.Kwanza utaanzaje kumwomba,, si ndio mwanzo wa kuulizwa umejuaje? au ulishawahi kumfanyia nani? sa hapo utajibuje?
 
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

MBADILIKE WANAUME

SABABU YA KUMFUATA BAR-MAID ALIKUWA NAYO ila kwavile ameshapumvika hatuna wa kutuambia ukweli ila MKEWE PIA ATAKUWA NI CHANZO CHA YEYE KWENDA NJE.
ILA JAMANI TUKUMBUKE KUWA BAR-MAID HANA TOFAUTI NA WANAWAKE WENGINE WOTE. HIYO NI KAZI TU KAMA KAMA NYINGINE HAIBADILISHI UBINADAMU WAKE.
Ndoa vina mambo mengi ila MKIWA NA YESU KWELI KWELI SIO UBABAISHAJI NDOA YENU ITAKUWA NA AMANI FURAHA DAIMA.
 
jamani maisha ya ndoa sio ya kuyategemea sana wanawake wamekuwa viburi sana na huchangia hali hiyo. laki pia watu hawaoani kwa sababu ya mapenzi bali kwa shinikizo la mimba. mi naona huyo mkewe alishinikiza aolewe kwa sababu alipata mimba ya huyo mtoto aliyemuacha naye na jamaa hakumpenda sawasawa au mke alikuwa akimpa stress za maisha ndio akaanza mchezo wa barmaid kushusha stress
 
si kiivyo KakaJambazi ..mkeo yuko nyumbani amelala matokeo yake analetewa maiti sababu kuu ni ngono...mmh
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie

Huwa hamkumbushiki.
 
maadili tanzania yameisha zama nyingi sana......mtu kwenda kugombania bar-maid wakati ana mke hapa kuna watu wanamsifu! au kusema kuwa ni kosa la mwanamke!
hivi wanaume lini mtabeba wajibu wenu?
 
fl1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. Najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

Mbadilike wanaume
umenichekesha mdogo wangu lol! Lakini usiogope.
 
Best hii siyo sababu kubwa ila tatizo letu wanaume tunapenda sana varieties, hata kama mkeo angekuridhisha bado utakuta wengine wanakwenda nje eti kisa ''ya wizi tamu'' jamani ni tamaa tu. Sasa huyu mwenzetu kakimbilia kwa barmaid? Jamani hivi kweli kwa wenzetu mliooa, kama mwenzio hakuridhishi, huwezi kumwambia kuwa ''bado'' hadi ukimbilie mtaani, na ukimwambia kwani atakuona mwenye tamaa au? Apumzike kwa amani!

Kumbe ya wizi huwa tamu??mambo haya !
 
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

MBADILIKE WANAUME

mm! JS kwa hilo huna hoja.
yani ujifikirie mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa kisa unahofia kusalitiwa!!
Mi nazani ungefikiria mbinu ya kumfanya mumeo/mkeo asikusaliti.
 
huyo kijana aliruka stage.

mtu unapoamua kuwowa/kuwolewa YOU MUST HAVE GONE THROUGH A SERIES OF EXPERIMENTS AND SAMPLING and all that.then ukiona sio inshu unakamatia kitu unajifunga kwa mkataba.......

OTHERWISE....raha ya milele apewe kijana aliyeruka stage,na mwanga wa milele umuangazie.apumzike kwa amani kijana huyu..AMINA
 
maadili tanzania yameisha zama nyingi sana......mtu kwenda kugombania bar-maid wakati ana mke hapa kuna watu wanamsifu! au kusema kuwa ni kosa la mwanamke!
hivi wanaume lini mtabeba wajibu wenu?

ndo maana Mwasiti aliimba analivua Pendo nimefundwa msondo wa kinyamwezi lakini bado naonekana si lolote si chochote mbele ya mme wangu ...
 
huyo kijana aliruka stage.

mtu unapoamua kuwowa/kuwolewa YOU MUST HAVE GONE THROUGH A SERIES OF EXPERIMENTS AND SAMPLING and all that.then ukiona sio inshu unakamatia kitu unajifunga kwa mkataba.......

OTHERWISE....raha ya milele apewe kijana aliyeruka stage,na mwanga wa milele umuangazie.apumzike kwa amani kijana huyu..AMINA

Thanx Geoff tukio hili limeniacha mdomo wazi na kutokuamini kama kweli haya matendo bado yanaendelea kutokea .
 
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

MBADILIKE WANAUME

Ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze. Acha woga, karibu kundini ukomae.

Wanaume tubadilike? FYI Mabadiliko ya wanawake ndio yanachangia haya kutokea..
Kabla hujaolewa unajituma
Ukishaolewa unajisahau.
Sisi tufanyeje na wakati huduma mantashau tunaitaka?
 
Back
Top Bottom