FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa
Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea Mhudumu
Kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- Too sad
Mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
Mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa Bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
Hivi tuwafanyie nini jamani?