Lakn ninachoshukuru leo WAPWAS akiwemo shemeji na mchumba wamekana KUDUMISHA MILA za upande wa kikeni(ulevi).Asanteni sana na naona wokovu unakaribia.
Leo hujavaa miwani shem?bht plzzz do ze nidfull.......................Mi shemeji hapo wala sijaona.......
Kama anajua kusoma katikati ya mistari........huo ndio UKWELI shemeji...zingine mbwembwe tu
Mawani yangu ushaiazima tayari?Leo hujavaa miwani shem?bht plzzz do ze nidfull.......................
huo ndio UKWELI shemeji...zingine mbwembwe tu
Naomba uniPM nijue yupo gereza gani nije nimpe dhamana na kumfatafutia wakili mzuri kama Mabele Marando.
You are very special and unique creature in this universe to me .How can I give your belongings kwa shemeji zangu?Kama anajua kusoma katikati ya mistari........
Mawani yangu ushaiazima tayari?
I want you to teach me how to hate her once and for all (hiki sijui ni kibluray?)
afadhali mmeyamaliza kiutuuzima loh!!!
Sikujua kumbe na kwenye Ukungwi umo?Nakuja nimeitwa ....kuna mwali anatolewa ndani
Umesamehewa mchumba!You are very special and unique creature in this universe to me .How can I give your belongings kwa shemeji zangu?
Naomba nitake radhi hapa.
Nachelea kukutwa na hayo yalomfika huyo kijana hapo juu jiraniye FL1.
Si ndo mnasema nyie wanaume eti 'uzururaji' wenu sisi ndio chanzo?
You are very special and unique creature in this universe to me .How can I give your belongings kwa shemeji zangu?
Naomba nitake radhi hapa.
Nachelea kukutwa na hayo yalomfika huyo kijana hapo juu jiraniye FL1.
Si ndo mnasema nyie wanaume eti 'uzururaji' wenu sisi ndio chanzo?
Yani FL1 we acha tu.Ila na wewe Charity una moyo huyu mmeo Chrispin kha hajatulia hata kidogo ...
mie namwangaliaga tu hajawahi kunitupia neno binamu yake lakini mmh anaweza kukupa BP,Shell,Caltex ,ORXY haeleweweki yuko mlengo gani
Binamu nisamehe sana eti eeh kwa hayo niliyosema hapo juu mkuki moyoni
FL1 huyo pepo ulimruhusuje kuingia moyoni mwako? Unawezaje kumsema mtumishi wa Mungu maneno kama hayo? Fumba macho nikuombee.......Ila na wewe Charity una moyo huyu mmeo Chrispin kha hajatulia hata kidogo ...
mie namwangaliaga tu hajawahi kunitupia neno binamu yake lakini mmh anaweza kukupa BP,Shell,Caltex ,ORXY haeleweweki yuko mlengo gani
Binamu nisamehe sana eti eeh kwa hayo niliyosema hapo juu mkuki moyoni
Ngoja nivae mawani yangu. Will be back shortly!Yani FL1 we acha tu.
Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.Lakini ndio nishampenda hivyo nifanyeje tena.
afumbe macho ya nini unataka kumwibia ??? ukiomba macho wazi Mungu hasikii??FL1 huyo pepo ulimruhusuje kuingia moyoni mwako? Unawezaje kumsema mtumishi wa Mungu maneno kama hayo? Fumba macho nikuombee.......
Ngoja nivae mawani yangu. Will be back shortly!
Love is blind wenzangu.Hata ukiwa na mke nyumbani unaweza penda hata barmaid.Wengi sana wanawaoa kama bibi wa pili.Hata barmaid wanapendenza na wanaweza kupendwa na wanaume,hata wanapiganiwa.Moyo haujuui cha u barmaid.Macho yanaona yanapenda,masikio yasikia yanapenda.
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.
MBADILIKE WANAUME
fl1 nisharekebisha mambo cheki Pm mpendwa wangu!namtafuta cheusimangara mwenye habari zake tafadhari AniPM
Maisha ya upweke ndio yana majaribu makubwa zaidi.JS! Habari za masiku? Maisha ya ndoa ni kweli yana majaribu lakini hata maisha ya upweke pia yana majaribu. Hivyo unaweza kubahatika kupata mwenzio ambaye hatakuweka katika majaribu ya kutisha na kuamua kuvunja ndoa. Ukipata mwenzi ambaye atapenda kuwa nawe kama mke usimkatishe tamaa. Kila la heri.