ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Lakn ninachoshukuru leo WAPWAS akiwemo shemeji na mchumba wamekana KUDUMISHA MILA za upande wa kikeni(ulevi).Asanteni sana na naona wokovu unakaribia.

huo ndio UKWELI shemeji...zingine mbwembwe tu
 
Nakuja nimeitwa ....kuna mwali anatolewa ndani
 
Kama anajua kusoma katikati ya mistari........

Mawani yangu ushaiazima tayari?
You are very special and unique creature in this universe to me .How can I give your belongings kwa shemeji zangu?
Naomba nitake radhi hapa.
Nachelea kukutwa na hayo yalomfika huyo kijana hapo juu jiraniye FL1.
Si ndo mnasema nyie wanaume eti 'uzururaji' wenu sisi ndio chanzo?
 
Umesamehewa mchumba!
 
Ila na wewe Charity una moyo huyu mmeo Chrispin kha hajatulia hata kidogo ...
mie namwangaliaga tu hajawahi kunitupia neno binamu yake lakini mmh anaweza kukupa BP,Shell,Caltex ,ORXY haeleweweki yuko mlengo gani

Binamu nisamehe sana eti eeh kwa hayo niliyosema hapo juu mkuki moyoni
 
kwa hili jamani tusijumlishe wanaume wote kwani si wote wenye tabia hizo wengine ni hulka zao,wengine ni stress za wake, wengine ni fan tu lakini akuna sababu ya msingi ya mume kutoka nje ya ndoa yake yote ni ukosefu wa maadili
 
Ila na wewe Charity una moyo huyu mmeo Chrispin kha hajatulia hata kidogo ...
mie namwangaliaga tu hajawahi kunitupia neno binamu yake lakini mmh anaweza kukupa BP,Shell,Caltex ,ORXY haeleweweki yuko mlengo gani

Binamu nisamehe sana eti eeh kwa hayo niliyosema hapo juu mkuki moyoni
Yani FL1 we acha tu.
Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.Lakini ndio nishampenda hivyo nifanyeje tena.
 
Love is blind wenzangu.Hata ukiwa na mke nyumbani unaweza penda hata barmaid.Wengi sana wanawaoa kama bibi wa pili.Hata barmaid wanapendenza na wanaweza kupendwa na wanaume,hata wanapiganiwa.Moyo haujuui cha u barmaid.Macho yanaona yanapenda,masikio yasikia yanapenda.
 
FL1 huyo pepo ulimruhusuje kuingia moyoni mwako? Unawezaje kumsema mtumishi wa Mungu maneno kama hayo? Fumba macho nikuombee.......

Ngoja nivae mawani yangu. Will be back shortly!
 
afumbe macho ya nini unataka kumwibia ??? ukiomba macho wazi Mungu hasikii??
huna haja y akuvaa miwani umesoma vizuri tu biggy wala hujakosea......
 
Love is blind wenzangu.Hata ukiwa na mke nyumbani unaweza penda hata barmaid.Wengi sana wanawaoa kama bibi wa pili.Hata barmaid wanapendenza na wanaweza kupendwa na wanaume,hata wanapiganiwa.Moyo haujuui cha u barmaid.Macho yanaona yanapenda,masikio yasikia yanapenda.

vipi mrembo waendeleaje weye?
 
FL1 dada yangu nikionaga hivi nafikiria mara mbilimbili kama maisha ya ndoa ndo hivi yalivyo. najitunza kwa ajili ya mume wangu yeye anatoka nje kama huyo jamaa aliyekufa.

MBADILIKE WANAUME

JS! Habari za masiku? Maisha ya ndoa ni kweli yana majaribu lakini hata maisha ya upweke pia yana majaribu. Hivyo unaweza kubahatika kupata mwenzio ambaye hatakuweka katika majaribu ya kutisha na kuamua kuvunja ndoa. Ukipata mwenzi ambaye atapenda kuwa nawe kama mke usimkatishe tamaa. Kila la heri.
 
Maisha ya upweke ndio yana majaribu makubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom