ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

ni tukio la kweli ambalo limetokea juzi hapa nilipo kwa
kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea mhudumu
kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- too sad
mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
hivi tuwafanyie nini jamani?
crying-eye.jpg

what is the opposite word for 'hero'

is it heroin?
 
Mlevi ni mtu anaye/aliye kunywa pombe akalewa shemeji....sasa ulishamwona mpwa/binamu aliyelewa? ndo tumwite mlevi?
Umemaliza hommie!

Inawezekana ni kweli kwa sababu sio wote wasemao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu.Na hata hivyo kriso mwenyewe alisema mtawatambua kwa matunda yao.
Lakini jambo la maana ni kuwa mtu asikatishwea tamaa ya kuingia kwa Bwana kwa ajili ya watu wachache ambao ni mbwa mwitu katikati ya kondoo.Na mimi nina uhakika "Bwana asfiwe wengi wanaishi maisha masafi isipokuwa wachache ambao hao huwa hawakosekani.
Na wewe Chris.watch your words.usije ukawa ni ajenti unayepingana na kriso bila ya wewe kujua.Usiwatishie "watoto wadogo" wakaogopa kuingia ufalme wa Mungu.
Kama umesoma posti yangu vizuri utakutana na neno WANAOJIFANYA Bwana Asifiwe. Nadhani hapo tuko sawa, si ndio. Sasa nitake radhi hapo kwenye red kabla sijakuzukia na mkongojo hapo.
 
Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa
Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea Mhudumu
Kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- Too sad
Mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
Mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa Bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
Hivi tuwafanyie nini jamani?
kwanza mhudumu wa baa nae ni mwanamke kama wanawake wengine. Alitaka afe akigombea miss TZ? Hao wanawake wa baa nao wana familia zao pia na wanaheshimika kwao kama huyo mjane. Suala la kumdharau mhudumu ni la kiudhalilishaji maana kama wasingekuwa na kitu wala hao wanaume wasingewafuata. Inawezekana wake zetu hawayajui mapenzi pia na ndio maana tunakimbilia kwa hao wahudumu. Ni somo hapa kwa wengine. Ni kosa pia kuzini ila ni kosa pia kutoa kauli kama hizo za kudharau kazi za watu. Apumzike kwa amani
 
Oyaaaa! mbona mm nakuwa counta alone??? wala simchoti mtu

Wa kaunta hauna noma mkuu. ila kule kwenye kona karibu na mau mau au miti miti ndio watunga sheria.

Hivi hapo counter unahudumiwa na she au he?

Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa
Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid
Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza maisha katika kumgombea Mhudumu
Kijana huyu ameacha mke ana 25 yrs old na mtoto mdogo bado ananyonya- Too sad
Mke analia kwa uchungu na kuuliza maswali yanayouumiza kwa kila mwenye kuyasikia
Mme wangu kweli umekufa unagombea mhudumu wa Bar kwani mie nina kasoro gani jamani ni mapenzi gani nilikunyima ??
Hivi tuwafanyie nini jamani?

Kweli inasikitisha. Mkate wa wizi ni mtamu zaidi kuliko wa kwako. Ni hulka ya kibinadamu tu, mapenzi ni zao la akili na mwili.: Mapenzi = Mwili + Akili . Minotony ya aina moja ya chakula hulzimisha hamu iongezeke juu ya chakula aina nyingine. Hata sahani ikibadilishwa kupakulia chakula hichohicho hubadili hamu ya kula chakula hicho. Kina mama jifunzeni kubadili mikao ya kula na tena mazingira ya makulaji. Sielewi kwa nini watu wanadhani barmaid sio wa kuthaminiwa ilhali engine ileile original anayo pia. Uzuri wa gari haupo pale unapopaki wala bodi yake ila engine yake. Lakini reception is very important moderator though!

Kijana alale pema peponi, kule hakuna kuoa wala kuolewa.
 
shem bana,unauliza makofi polisi?
Mchumba wangu Xpin ni mlevi,na bila hangover hajisikii vema.kama anabisha aseme hapa.
niendelee wengine?.........[/QUOTE]
Mamushka! Nisaidie hapa kwa kweli. Haijatoka mzalendo hii.
 
Wa kaunta hauna noma mkuu. ila kule kwenye kona karibu na mau mau au miti miti ndio watunga sheria.

Hivi hapo counter unahudumiwa na she au he?
kwenye kona ndo yale mambo ya signature yangu..............sitaki kuingia kishawishini.
 
Wa kaunta hauna noma mkuu. ila kule kwenye kona karibu na mau mau au miti miti ndio watunga sheria.

Hivi hapo counter unahudumiwa na she au he?
Hebu soma location yangu vizuri kamanda.
 
shem bana,unauliza makofi polisi?
Mchumba wangu Xpin ni mlevi,na bila hangover hajisikii vema.kama anabisha aseme hapa.
niendelee wengine?.........[/QUOTE]
Mamushka! Nisaidie hapa kwa kweli. Haijatoka mzalendo hii.

wat do you want mamushka to do to Preta!!??

hii syo ya Mzalendo bana naikataa pasinali
 
Kweli inasikitisha. Mkate wa wizi ni mtamu zaidi kuliko wa kwako. Ni hulka ya kibinadamu tu, mapenzi ni zao la akili na mwili.: Mapenzi = Mwili + Akili . Minotony ya aina moja ya chakula hulzimisha hamu iongezeke juu ya chakula aina nyingine. Hata sahani ikibadilishwa kupakulia chakula hichohicho hubadili hamu ya kula chakula hicho. Kina mama jifunzeni kubadili mikao ya kula na tena mazingira ya makulaji. Sielewi kwa nini watu wanadhani barmaid sio wa kuthaminiwa ilhali engine ileile original anayo pia. Uzuri wa gari haupo pale unapopaki wala bodi yake ila engine yake. Lakini reception is very important moderator though!

Kijana alale pema peponi, kule hakuna kuoa wala kuolewa.

Duh Lekanjobe nimekosa neno hapa
 
Wa kaunta hauna noma mkuu. ila kule kwenye kona karibu na mau mau au miti miti ndio watunga sheria.

Hivi hapo counter unahudumiwa na she au he?
Hebu soma location yangu vizuri komredi
 
shem bana,unauliza makofi polisi?
Mchumba wangu Xpin ni mlevi,na bila hangover hajisikii vema.kama anabisha aseme hapa.
niendelee wengine?.........

Mi shemeji hapo wala sijaona.......
 
Umemaliza hommie!

Kama umesoma posti yangu vizuri utakutana na neno WANAOJIFANYA Bwana Asifiwe. Nadhani hapo tuko sawa, si ndio. Sasa nitake radhi hapo kwenye red kabla sijakuzukia na mkongojo hapo.
Radhi sikuombi.na unizukie uone kama somo halijageuka.badala ya kunichapa na mkongojo,utanichapa na chum.hahahahhaaaaa.
 
hahahaha wewe Binamu yaani huyo sasa yuko Lupango anatakiwa atoe ushahidi ni baada ya mtuhumiwa kukimbia baada ya tukio
labda uje umdhamini

Naomba uniPM nijue yupo gereza gani nije nimpe dhamana na kumfatafutia wakili mzuri kama Mabele Marando.
 
I want you to teach me how to hate her once and for all (hiki sijui ni kibluray?)
Hahahahahaaaa.you want to hate me????? ili udumishe mila?
Dalili ya mvua ni mawingu.Isije ikawa bado ROBO SAA.
Lakn ninachoshukuru leo WAPWAS akiwemo shemeji na mchumba wamekana KUDUMISHA MILA za upande wa kikeni(ulevi).Asanteni sana na naona wokovu unakaribia.
 
Back
Top Bottom