Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama tulivyoeleza hapo awali ni kwamba ile kampeni kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP WORLD ya Dubai , imeingia Kanda ya Nyasa.
Baada ya kuzinduliwa Jana huko Tunduma, leo imeingia Ileje na kupokelewa kwa kishindo na wananchi wa eneo hilo lenye miundo mbinu duni .
Haya hapa ni Mapokezi tu.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Baada ya kuzinduliwa Jana huko Tunduma, leo imeingia Ileje na kupokelewa kwa kishindo na wananchi wa eneo hilo lenye miundo mbinu duni .
Haya hapa ni Mapokezi tu.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi