kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ashinde au asishinde ndio anapigiwa mizinga 21 na inshaAllah panapo majaliwa 2025 ndio raisi wako tena!Samia hajawahi kushinda Uchaguzi wowote ule kuanzia Dada wa Darasa hadi ubunge , ukibisha namimina ushahidi