Oparesheni 255 yaanza kazi rasmi, Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Ileje

Oparesheni 255 yaanza kazi rasmi, Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Ileje

Kweli kwahili CCM wamejichanganya
Mtu aliye itesa familia ya Jk unamchanganya na wabaya wake
Hapo Mzee Makamba sijamiwazia

Maza pumzi imekata
Wakati mwingine kwakuwa ndege aliruka na kukimbilia miti ya mbali sasa anasogezwa karibu na washika manati ili apigwe kwa jiwe la karibu akose hata njia ya kujinusuru,akijaribu kukimbia anaongezwa lingine na kuvunjwa mabawa.

Tunza hii comment huenda ikafaa kwa siku za baadae.
 
Back
Top Bottom