Oparesheni 255 yaanza kazi rasmi, Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Ileje

Hivi Chadema mbona huwa hamsikii
Operesheni hizi ni kupoteza muda wingi wa watu ndio mnafurahia
Mkataba wa Bandari wanesign then what?
Mnaacha kudeal na mambo muhimu Mpo barabarani kila uchwao
Ninyi na wakimbiza Mwenge hamna tofauti..
 
Hivi Chadema mbona huwa hamsikii
Operesheni hizi ni kupoteza muda wingi wa watu ndio mnafurahia
Mkataba wa Bandari wanesign then what?
Mnaacha kudeal na mambo muhimu Mpo barabarani kila uchwao
Ninyi na wakimbiza Mwenge hamna tofauti..
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
Maskini Mzee mwenzangu Mbowe,
Wamekufanya nini hao vijana?
 
Unapoteza muda wako tu hapa maana kwa sasa habari ya mjini na inayoendelea Kuitetemesha nchi ni uteuzi wa komaandoo wa vita,jasusi imara na legendari Paul makonda. Ni lazima mlale na viatu leo maana ndio mwisho wenu.
Siasa siyo vita, siasa ni sayansi,
Nijuavyo mimi Makonda hajui na hawezi siasa za majukwaani anachojua yeye ni matusi na vitisho.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Alishindwaje wakati mlipotezwa katika majimbo ,kata na vitongoji vyote pale Dar? Wewe leo kapumzishe tu akili pale Desderia au nenda Tunduma pale nyati hotel.
Unajifanya hujui kilichotokea kwenye ule uchafuzi?
Ule haukuwa uchaguzi bali ulikuwa uchafuzi.
Tatizo lako unapenda mno kujipendekeza mbele ya CCM Kama demu,wewe ni shoga wa ccm.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…