Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda Mjini.
Kama kawaida Mkufunzi Mkuu wa Idara ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Tundu Lissu, ataongoza mapambano.
Usiondoke JF
======
UPDATES
View attachment 2632536View attachment 2632537
Kama kawaida Mkufunzi Mkuu wa Idara ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Tundu Lissu, ataongoza mapambano.
Usiondoke JF
======
UPDATES
View attachment 2632536View attachment 2632537