Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wote MnakaribishwaMatumizi ya hovyo kabisa ya kodi za watanzania
Kati ya vitu ambavyo umeshindwa kumiliki ni akili.Matumizi ya hovyo kabisa ya kodi za watanzania
Mkuu kama upo hapo Ze Digital niandalie Primus chache , nasogea muda si mrefuTupo hapa Zedigital Mtaa wa Simba ...watu wanafuraha kweli kweli ni kama sherehe mji umechangamka kweli kweli...Kikosi cha Ukombozi kimeingia....
Tuache utani hiki chama Kinapendwa yaani Ikola Kasekese Mwese Maji moto Lugonesi Kayenze Kalema ...Sitelikeee Inyonga hii nyomi yote imekuja yenyewe bila kusombwa na malori
Hapa kwa Sweet Manka ni kutupia tu na miongozo ya Katiba Mpyaa...mtaa wa fisi huko salaam ni Pipozz
Karibu sana Kamanda...Congo majirani zetu Primus mpaka za Namibia zipo kwa bei ya kutupwa...Mkuu kama upo hapo Ze Digital niandalie Primus chache , nasogea muda si mrefu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
AmenKaribu sana Kamanda...Congo majirani zetu Primus mpaka za Namibia zipo kwa bei ya kutupwa...
Hakika shetani Magufuli alitumia vibaya kodi zetu kujenga kiwanja cha ndege porini Chato na sasa kinatumika kuanikia nafaka badala ya ndege kutua!Matumizi ya hovyo kabisa ya kodi za watanzania
[emoji38][emoji38][emoji38]Kiongozi nakuja hapo sweet manka [emoji39]
Bila kufanya mikutano utawapataje wanachama?Matumizi ya hovyo kabisa ya kodi za watanzania
Katiba Mpya ni sasaLisu wa sasa sidhani atakuwa Kama Yule...
Huyu keshaongea na Hangaya...
Wawe makini Mzee wa Piga tu yuko hukoTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda Mjini.
Kama kawaida Mkufunzi Mkuu wa Idara ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Tundu Lissu, ataongoza mapambano.
View attachment 2632283
Usiondoke JF
======
UPDATES
View attachment 2632536View attachment 2632537