Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia.
Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa hamu kuwaadhibu mazayuni imefia wapi?
Au Iran karidhika na majibu ya mazayuni au wanasubiri Turampu (Trump) kaahidi kimaliza mzozo kwa kuwatia adabu mazayuni.
Naomba majibu