Nani aliahidi kuifuta Israel!?Mbona aliahidi kuifuta Israel lakini KIKO WAPI SASA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliahidi kuifuta Israel!?Mbona aliahidi kuifuta Israel lakini KIKO WAPI SASA
Ninasubiri upite mwezi kabisa au hata miezi mitatu halafu ulete takwimu zingine. Nadha ni mwisho utaandika hivi " Msipende kushabikia vita"Ikumbukwe ya Israel kujibu mapigo kwa Iran ilipita siku 25 na siku ya 26 ndipo wakajibu Km sikosei.
Je tangu Israel ashambulie zimepita siku gapi?
Tena sio kukacha tu kulipiza kisasa, ila hata nuclear program yao wako tayari kuachana nayo."Wa Afu Bil Ahd innal Ahada Kana Mas'ula" "Kila ahadi mbele ya mwenyezi Mungu itaulizwa " sisi Iran ni waumini hatutoi ahadi ya uongo , operation true promise 3 ni ahadi tutakayoitekeleza kwa ukali zaidi ya tulivyotekeleza ahadi za awali.
Iran has the right to defend itself 🇮🇷
Umeelewa comment yangu?Ninasubiri upite mwezi kabisa au hata miezi mitatu halafu ulete takwimu zingine. Nadha ni mwisho utaandika hivi " Msipende kushabikia vita"
GLBT hii kauli mnapenda sana kuirudia rudia. Lini IRAN au kiongozi wake aliahidi hivyo na kisa au sababu ya kutaka kufanya hivyo?Mbona aliahidi kuifuta Israel lakini KIKO WAPI SASA
Kwahiyo Irani anasubiri zifike 25?Ikumbukwe ya Israel kujibu mapigo kwa Iran ilipita siku 25 na siku ya 26 ndipo wakajibu Km sikosei.
Je tangu Israel ashambulie zimepita siku gapi?
Hii kweli itaulizwa, na hata sisi Iran wa kwa bibi Nyau tunaulizwa na wenzetu"Wa Afu Bil Ahd innal Ahada Kana Mas'ula" "Kila ahadi mbele ya mwenyezi Mungu itaulizwa " sisi Iran ni waumini hatutoi ahadi ya uongo , operation true promise 3 ni ahadi tutakayoitekeleza kwa ukali zaidi ya tulivyotekeleza ahadi za awali.
Iran has the right to defend itself 🇮🇷
Maneno yako ni kweli kabisa, nani alifikiria Carriers za US mtu anaweza kuzipiga leo US anakiri Al Houth tumewashindwa hawawezekani 😄Dege la 1947
Labda ndio unamajina 99 kama Allah na Mtume wenu mudy guyManeno yako ni kweli kabisa, nani alifikiria Carriers za US mtu anaweza kuzipiga leo US anakiri Al Houth tumewashindwa hawawezekani 😄
Hizo ndege B52 ukubwa wake sawa na Boeing, Iran ashindwa kuzitungua, huyo kichaa utamuweza ana majina 30+ huwa anaota sa zingine huku ana type.
😂😂😂 Mnampa siku mbili?Kwahiyo Irani anasubiri zifike 25?
Haya leo ni tarehe 16/11 jumlisha siku 7 za mwezi Oktoba kukamilika. Jumla ni siku 23 mpaka sasa hajajibu. Tunampa siku 2 atuondolee hii aibu ya Mazayuni kutopigwa kwakweli.
Haiwezekani Ahadi ya 3 sisi wa Mtogole tumeitangaza halafu isitimie au ichelewe kwa zaidi ya siku 25
Allah hana majina 99 ni sifa zake hizo usiwe mjinga. Mfano akisema Mfalme wa Wafalme ni kweli hakuna mfalme zaidi yake. Akisema Al Rahman mana yake hakuna mwenye iman kama yeye. Akisema Al Shadid Al Aqab pia ni vile hakuna wakutoa adhabu kama yeye na etc.Labda ndio unamajina 99 kama Allah na Mtume wenu mudy guy
Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia.
Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa hamu kuwaadhibu mazayuni imefia wapi?
Au Iran karidhika na majibu ya mazayuni au wanasubiri Turampu (Trump) kaahidi kimaliza mzozo kwa kuwatia adabu mazayuni.
Naomba majibu
Ayatollah Rahollah Khomenei.Nani aliahidi kuifuta Israel!?