username1
JF-Expert Member
- Jan 14, 2016
- 267
- 253
As usual hujawahi kunilet down Mkuu the bold be blessed na mpenzi wa moyo wako niffahNagonga like,na subscribe thread then Ndio naanza kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As usual hujawahi kunilet down Mkuu the bold be blessed na mpenzi wa moyo wako niffahNagonga like,na subscribe thread then Ndio naanza kusoma
Shemela,mbona unawarusha roho tena.wezee wa kuchaboo.kama nawaona vileee macho yalivyo watoka kutafu namna ya ku edit haka ka story the great the bold[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha haki hii vita ya kuwahi siti ya mbele haijawahi kunishinda...here I am [emoji4].
Shusha nondoz kichwa,ni wewe tu ktk ulimwengu huu wa kijasusi.
{Kuna watu watanuna na kusonya huko hihihii}
unatutesa mkuuAsante hii story nzuri
Mkuu usinitafutie ban nikikujibu ovyo tumia lugha ya kistarabu tuSasa wewe ng'ombe una nakiri ujumbe wote kwa kusema asante !!! Kuna watu tunatumia simu mnatupa sana shida sijui ni lini mtaweza kutumia mitandao ya kijamii au semina elekezi zinatakiwa ??
Kero sana hii.
Kurupuka tena
Asante kwa kuniita mbuziWe mbuzi kwani lazima ukwoti story ndefu hivyo?
Mijitu mingine bana
SorryMkuu kwa maneno hayo tuu umecopy story nzima!!!? Mbona wengine hawajacopy na wameeleweka tuu!?
Asante kwa kuniita mbuzi
Narudia kwa niliyemkwaza jamaan samahan
Mbona unakua katili kiasi hichi!!?Umetisha sanaaaa mkuu yaaan........
Pamoja sana chief...The bold ni kisanga nyingne hiii,asante kwa madini mazito
Mkuu kichakaa man,Asante hii story nzuri
Shukrani chief... Tuko pamojaMkuu The Bold, nashukuru kwa kuni-tag hii operation sio ya mchezo aisee!