Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #281
Sawa mkuu..Mkuu,tafadhari ukishusha nondo kama hizi usiache kuniita .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu..Mkuu,tafadhari ukishusha nondo kama hizi usiache kuniita .
Hahaha!! Nakuongeza kwa taglist mkuu..
Shukrani sana mkuu... Nakuongeza kwa taglistkama naangalia movie vile hongera sana kaka...uwe unanitag kaka mm ni member wako mzuri kwenye story zako....
Hahah!! Pole sana mkuu..Siti zote za mbele zimejaa,acha nisimame tu.
Shukrani sana chief Raphael wa UrenoThe Bold heshima kwako mkuu una vitu vya kusisimua sana....nilipoanza kusoma nimejikuta nazima simu yangu (simu ya ziada) kuepusha usumbufu wakati nasoma.
Hahah!! Asante mkuu..the bold unafaa kuwa director wa muvi
Alifanya mauzauza mengi sana yule mtu... I hope alitubu kabla ya kurejea juuAhsante kwa kutupa Historia, ila mimi napata shida ni kweli idi amin alikua katili hivyo au propaganda tu
Hahaha!! Kaa mkao wa kula mkuu...
Pamoja sana chief..Dah! Aisee hatari sana kuna nchi zinajali watu wao jamani asante sana mkuu The Bold kwa kutujunza hii mambo
Daaahh!! So sorry mkuu nakuongeza kwa taglist..The bold, nakufuatilia kwa umakini kabisa.
Sema tag list yako haijawahi kuniacha salama!
Bila shaka mkuu..Mkuu asante sana kwa story mi mdau sana wa mambo haya usisahau kunitag mkuu kila ukituma
Asante sana kwa sapoti yako mkuu!!We jamaa ungezaliwa mbele ungekuwa doni sana ..kipaji cha uandishi ni sanaa kubwa sana mamtoni.
Nadhani kesho mchana mkuu... Stay tunedSehemu ya III ni lini?
Inasikitisha sana mkuu!! Tunapiga kelele kila siku watu waache hiu tabia lakini wapi hawasikii..Acha mambo ya ajabu. Uwezi ku-quote bandiko lote kwa sentensi zako mbili.
Bila shaka mkuu..Nitag kwa muendelezo
Kesho mchana mkuu...Sehem ya tat inaendelea Lin mkuu
Nitafanya hivyo chief... Bila shakaDont forget me in ur tags chief
Cc: The Bold
Pamoja sana mkuu..Safiii nilikuwa naitamani sana kujua hii story kiundani safi sana