MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Hivi, isingewezekana wewe kuandika ulichoandika bila ku-quote? Hivi huwa huoni humu watu wakilalamika kuhusu tukio kama lako?M
Ng'wana wane, umenifurahisha kupita maelezo. NIlikuwa mdogo kaka yangu ndio alikuwa anatuelezea hayo matukio ukizingatia wala tv hazikuwepo ni viredio uchwara lakini it was fine by then. Hilo jina la Ida na huyo Dora niivishika sana. Kumbe alikufa pia kijana mwingine sie tuliambiwa ni huyo Ida pekee. Duuu so many people died. All in all sote tutakwenda tu. Nasubiria hizo nyinyinge kwa bashasha haswaaaa. Thank you
Sijui lisukuma la wapi hiloHivi ukiandika bila kuqoute Uzi wote hutasikika?au ni ushamba tu
At least you get an info..Kesho ndio anatoa mpya...
AmenAt least you get an info..
Hata best friend let's meet here kesho Mungu atupe uzima
pamoja sanaKesho alhamisi mkuu...
The Bold Ongera Sana kwa makala nzuri zenye kutuelimisha na kutufunza.Ila kiongozi Una ubaguzi Sana hata siku moja ujanirusha kwenye post zako.I phone 8 plusHahaha!! Akija atakudai siti yake...
Sante sanaa bana npo hapa naisubirHahaha!! Karibu sana mkuu..
Pamojs sana kiongozi.