MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Hivi, isingewezekana wewe kuandika ulichoandika bila ku-quote? Hivi huwa huoni humu watu wakilalamika kuhusu tukio kama lako?M
Ng'wana wane, umenifurahisha kupita maelezo. NIlikuwa mdogo kaka yangu ndio alikuwa anatuelezea hayo matukio ukizingatia wala tv hazikuwepo ni viredio uchwara lakini it was fine by then. Hilo jina la Ida na huyo Dora niivishika sana. Kumbe alikufa pia kijana mwingine sie tuliambiwa ni huyo Ida pekee. Duuu so many people died. All in all sote tutakwenda tu. Nasubiria hizo nyinyinge kwa bashasha haswaaaa. Thank you
Unapatikana maeneo gani huko? Buhongwa au Simiyu?
Mind your head