Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #141
Bila shaka mkuu..Episode Three ikianza mkuu ntaomba unijuze na mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka mkuu..Episode Three ikianza mkuu ntaomba unijuze na mie
Karibu tupunguze machungu ya maboso/makanikia..CC: The Bold Ahsante sana mkuu tuko pa1 big_up sana ngoja tutoe stress za Makinikia huku
Ninalifahamu jukwaa hili la Intelligence kwa muda mrefu kidogo maana miaka mitano siyo michache na ninajua lilikuwaje kipindi hicho na leo lipo namna gani....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha haki hii vita ya kuwahi siti ya mbele haijawahi kunishinda...here I am [emoji4].
Shusha nondoz kichwa,ni wewe tu ktk ulimwengu huu wa kijasusi.
{Kuna watu watanuna na kusonya huko hihihii}
Daah asante Shemu langu ....hunaga hiyanaNafanyia kazi kuhusu Princess Diana... Ndani ya wiki moja itaruka hewani mkuu..
Mambo mpenzi Wity?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fresh shogaangu...upo?Mambo mpenzi Wity?
Pamoja sana chief..hongera sana nimmoja ya watu unaofanya watu wasahau shida zao ,bravo mkuu
Yeah... Pia Delta Force wanafanana kabisa na Sayeret Matkal ya Israel ambao walitekeleza hii operation..Huu uzi nausoma naona kama kuna chembe chembe za movie ya Delta Force ya Chuck Norris, nahisi alitoa baadhi ya ''events'' kwenye hii mission.
Tag me mkuuNitakutag mkuu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na hapa ujue wewe ni adui yake tayari.Fresh shogaangu...upo?
Ulinichekesha sana kule PM..
Yaani yule mtu nikikutana nae kwenye hizi nyuzi mi mbavuu sina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hesabu tayari upo ktk list ya tag mkuu,ombi halijawahi kupitia kwangu likaacha kusikilizwa hahaha.Mkuu shukrani kwa yote ila usiwe unasahau kunitag.
blackberry m
Shemela Nifah uwe unamkumbusha Bwana Mkubwa
Pamoja sana chief..Nakukubali bro
Duh! Hii ni 1973Wenzetu wako vizuri aisee si mchezo mchezo...
Hata huyu wa sasa (Benjamin Netanyahu) si kaka yake tu kwamba ndiye alikuwa komando, hata yeye pia aliwahi kutumikia Unit ya weledi ya Sayeret Matkal..
![]()
Hii mwaka 1973 katika Middle East War
Hahahaha!!Duh! Hii ni 1973
Kwa TZ 2017 Commando bado wanapinda nondo [emoji119] [emoji119] [emoji119]