Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Ninalifahamu jukwaa hili la Intelligence kwa muda mrefu kidogo maana miaka mitano siyo michache na ninajua lilikuwaje kipindi hicho na leo lipo namna gani....

Ninadhani nimebahatika kuwa katika kipindi ambacho JF ilikuwa bora kabisa kwa namna zote nikimaanisha kuwa wapo watu waliokuwa wanaifanya JF kama chanzo chao cha habari na wengine waliifanya kama shule....

Wengine waliifanya JF kuwa sehemu ya kutafuta ushauri wa mambo tofauti tofauti na walifanikiwa sana tu.Hicho ni kipindi ambacho kuliwahi kuwa na waandishi hatari kabisa wa mambo tofauti tofauti...

Siku hizi kuna mengi yamebadilika na yamesababisha watu kuacha kabisa kuja JF na mojawapo nadhani ni hili tunalolipigia kelele.Sijui,lakini nina asilimia fulani za uhakika kuwa staff wa JF wanaelewa kuhusu hili,nisichokijua ni sababu yao ya kutolifanyia kazi.....

Wakati mwingine ni shida sana kumuelewa mtu mwingine,labda tuvumilie kuna siku tutawaelewa....
 
Huu uzi nausoma naona kama kuna chembe chembe za movie ya Delta Force ya Chuck Norris, nahisi alitoa baadhi ya ''events'' kwenye hii mission.
 
Huu uzi nausoma naona kama kuna chembe chembe za movie ya Delta Force ya Chuck Norris, nahisi alitoa baadhi ya ''events'' kwenye hii mission.
Yeah... Pia Delta Force wanafanana kabisa na Sayeret Matkal ya Israel ambao walitekeleza hii operation..
 
Fresh shogaangu...upo?

Ulinichekesha sana kule PM..

Yaani yule mtu nikikutana nae kwenye hizi nyuzi mi mbavuu sina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na hapa ujue wewe ni adui yake tayari.
Ukiwa rafiki yangu tu,umenunua ugomvi hahaha.
 
Wenzetu wako vizuri aisee si mchezo mchezo...

Hata huyu wa sasa (Benjamin Netanyahu) si kaka yake tu kwamba ndiye alikuwa komando, hata yeye pia aliwahi kutumikia Unit ya weledi ya Sayeret Matkal..

827b3918428aab28f3ed71fb442dec32.jpg


Hii mwaka 1973 katika Middle East War
Duh! Hii ni 1973
Kwa TZ 2017 Commando bado wanapinda nondo [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom