jamiink
Senior Member
- Dec 24, 2014
- 160
- 178
https://www.quora.com/How-do-modern...-Yonathan-Netanyahu?share=14a27d86&srid=3pgSDWho killed Yoni Netanyahu? Official documents zinaonyesha aliuwawa n.a. askari wa Uganda. Ila ndugu zake ambao wote walikuwa commandos kwenye hiyo unit, ila hawakushiriki sababu ya policy ya kutoweka ndugu wengi kwenye operation moja wanadai aliuwawa na Col Muki Betser, who was his deputy in the mission?
Ukipitia hiyo link hapo juu [emoji115] utaona baadhi ya watu wameelezea kumuhusu Yonathani Netanyahu.