Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
naifuata punde, kyala akuturegeMkuu ipo hewan kwenye web yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naifuata punde, kyala akuturegeMkuu ipo hewan kwenye web yake...
Alikosea nini?Aisee Interview niliifuatilia vyema sana nikawa busy leo nakuja kumalizia kusoma nami niulize naona uzi upo closed
Uwe unanitag na mmSawa mkuu..
Hio web msaada tuifateMkuu ipo hewan kwenye web yake...
nifaahhOur people,
Asanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha jana kuhusiana na suala hili la ban aliyopigwa The bold.
Was epic! Sikuwahi kufikiri kama watu mnatuelewa na kutupenda namna hii. Mliivamia PM na WhatsApp kiasi nilichoka hadi nikashindwa kuaga usiku wa jana kama nilivyoahidi.
Again,nawashukuru nyote mliotutafuta kutupa moyo,nawashukuru nyote mlioonesha kuguswa na hili.
Jana nimetafakari sana utetezi waliouleta JF. Halafu baada ya utetezi wakaufunga uzi,wakaufungua,wakaufunga tena na kufuta comments nyingi sana,sawa.
Ninachoweza kusema ban hii imetolewa kwa 'mihemuko'! Haiingii akilini 'kosa' (kama wanavyosema wao) la kuweka link lipelekee mtu kupigwa ban ya miezi minne kasoro!
From 2nd July to 18th October!
Maana kama kosa ndio hilo kulikuwa na haja gani ya kuufunga uzi aliokuwa akihojiwa?
Huu si ndio udikteta tunaoupigia kelele humu?
Huwezi ukampiga mtu ban kwa 'kosa' la kuweka link na ufunge uzi aliokuwa akihojiwa halafu useme ukweli unapotoshwa!
Jana nilitoa ahadi,na daima husimamia kile ninachokiahidi. (Nina msimamo mkali kuliko Hayati Gaddafi lol)
Naungana na mwenzangu ktk ban yake ya miezi minne.
Kubaki kwangu mimi hapa ni kuunga mkono udhalimu aliofanyiwa.
Huu ni ujumbe wangu wa mwisho hadi hapo atakapofunguliwa Bold,in fact hakuna atakayebaki huku milele ila maandiko yetu.
Na hata maandiko yetu yakifutwa humu naamini hayatoweza kufutwa mioyoni mwenu.
#TUONANEOCTOBER18#
Nifah
Yeyote atakayehitaji kuwasiliana nasi atutafute kupitia namba hizi 0718 096 811.
Kwaherini [emoji4] [emoji136]
Awez jibu mkuu kasha aganifaahh
aiseeAwez jibu mkuu kasha aga
Shemela vipi tena mbona sielewi?.duuhKwahiyo mkuu wewe unaijua sababu nyingine tofauti na waliyoitoa JF kwake The bold walimpiga ban?
Wenyewe wamesema sababu ni kuweka link nasi tumesema hivyohivyo na ndicho tunacholalamikia.
Anyways,endelea kuamini unachoamini wewe.
Aliweka link ya website yakeAlikosea nini?
Acheni hulka za kitumwa. Kama ni madikteta achaneni nao tu wabaki na sheria zao, kwa nini kuendeshwa kidikteta? Hakika utumwa hautaisha kwa staili ya watu hawa
Mbona ilishawekwa kwenye blog/website yake muda mrefu tumkubwa sehemu ya nne utaiweka wapi na lini? umenikata sitimu sana nimesafiroi hadi kwenye blog yako ila mchezo haujafika mwisho