Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Our people,

Asanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha jana kuhusiana na suala hili la ban aliyopigwa The bold.

Was epic! Sikuwahi kufikiri kama watu mnatuelewa na kutupenda namna hii. Mliivamia PM na WhatsApp kiasi nilichoka hadi nikashindwa kuaga usiku wa jana kama nilivyoahidi.

Again,nawashukuru nyote mliotutafuta kutupa moyo,nawashukuru nyote mlioonesha kuguswa na hili.

Jana nimetafakari sana utetezi waliouleta JF. Halafu baada ya utetezi wakaufunga uzi,wakaufungua,wakaufunga tena na kufuta comments nyingi sana,sawa.

Ninachoweza kusema ban hii imetolewa kwa 'mihemuko'! Haiingii akilini 'kosa' (kama wanavyosema wao) la kuweka link lipelekee mtu kupigwa ban ya miezi minne kasoro!
From 2nd July to 18th October!

Maana kama kosa ndio hilo kulikuwa na haja gani ya kuufunga uzi aliokuwa akihojiwa?
Huu si ndio udikteta tunaoupigia kelele humu?
Huwezi ukampiga mtu ban kwa 'kosa' la kuweka link na ufunge uzi aliokuwa akihojiwa halafu useme ukweli unapotoshwa!

Jana nilitoa ahadi,na daima husimamia kile ninachokiahidi. (Nina msimamo mkali kuliko Hayati Gaddafi lol)
Naungana na mwenzangu ktk ban yake ya miezi minne.
Kubaki kwangu mimi hapa ni kuunga mkono udhalimu aliofanyiwa.

Huu ni ujumbe wangu wa mwisho hadi hapo atakapofunguliwa Bold,in fact hakuna atakayebaki huku milele ila maandiko yetu.
Na hata maandiko yetu yakifutwa humu naamini hayatoweza kufutwa mioyoni mwenu.


#TUONANEOCTOBER18#

Nifah

Yeyote atakayehitaji kuwasiliana nasi atutafute kupitia namba hizi 0718 096 811.

Kwaherini [emoji4] [emoji136]
nifaahh
 
Kwahiyo mkuu wewe unaijua sababu nyingine tofauti na waliyoitoa JF kwake The bold walimpiga ban?

Wenyewe wamesema sababu ni kuweka link nasi tumesema hivyohivyo na ndicho tunacholalamikia.

Anyways,endelea kuamini unachoamini wewe.
Shemela vipi tena mbona sielewi?.duuh
 
Hua napenda kuishi maisha ya free kabsaa Hivi jamani mkiona JF kero mnasepa na kuna mitandao chungu nzima Twitter Facebook tumblr instagram na baba lao Whatsapp kwa mfano n msomaj mzur wa stor za hawa watu lakin akasema kama vp mfuate wasap bas kimya wamfuata wala usilielie ooh sijui nin mana mitandao n ming hii sio miaka ya 2002 au 2003 enzi kuna web ya kiswahili ya vijana inaitwa Darhotwire.com tu sasa hiv its yo choice ambayo iko kwa tip za vidole vyako
UJUMBE KWA NIFA NA THE BOLD UMETENGENEZA BASE KUBWA WASAP ME NAONA ANZISHA FB ACCOUNT AF WEKA STOR KULE SEMA ITAENDLEA WASAP KINGILIO BLAH BLAH FULL STOP HUTAPATA KERO YA HIV KUANZA KULIA LIA HAPA WAO JF HAWATAK HZO KITU ZENU MNASEPA ACHENI UTANZANIA KULIA LIA KILA KITU.tupelekeni fb au kwa web yako then maisha yanasonga haya mitandao mingine ina sheria zake nshawaipgwa ban fb mwezi pa1 na kuwatumia passport angu kuonesha ID angu walizingua mpak basi ila ndio hvo nikasepa nikahamia twitter ila now fb wamenirudishia mda huu sio wa kulalamika hata bf/gf akikuzingua unasepa unachek maisha mbele mana kuna maisha mengine ni hayo TU kwa leo.
 
Nipo nakula ubuyu mkamilifu wa kulisha ubongo.

Bravo, The bold na Nifah.
 
sehemu ya nne tunaipata wapi mkubwa mbona hujaelekeza?
 
mkubwa sehemu ya nne utaiweka wapi na lini? umenikata sitimu sana nimesafiroi hadi kwenye blog yako ila mchezo haujafika mwisho
 
mkubwa sehemu ya nne utaiweka wapi na lini? umenikata sitimu sana nimesafiroi hadi kwenye blog yako ila mchezo haujafika mwisho
Mbona ilishawekwa kwenye blog/website yake muda mrefu tu
Nenda huko utaipata
Bando unaloingilia hapa na huko ni sawa tu
 
...[HASHTAG]#thebold[/HASHTAG] uwe unania tag na mimi maana nondo zako huwa nazikubaligi sana!

OvA
 
Back
Top Bottom