Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Bob Amsterdam hajawahi kutuangusha!
 
Who the hell is Robert Amsterdam?
 
Mkuu kuna wengine zilikataliwA kupokelewa , Nawengine wasimamizi hawakuwepo ofcn, pia Naomba unisaidie kwa mgombea wa ccm deo Mwanyika ambae alikutwa na jinai na leo tume imempitisha japo alikatiwa rufaa, akili haifikir hayo
 
The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Jr[emoji769]
There is no need for the NEC to expose the country to international criticism, at the same time sacrificing the country's welfare to chaos, violence, and bloodshed for the benefit of the ruling party. This is unacceptable. The commission has ample time to re-address the situation and extend the necessary justice to those who are unfairly disqualified.
 
A
umeunga tu! mwanasheria hawezi kuandika barua isiyokuwa na msingi wa kisheria. Inawezekana ni mwanasheria anayetafuta kujulikana Tanzania kwa kuandika pumba kama hizo mara kwa mara.
Au kama vile tume ilivotoa majibu ya rufaa ya Lissu dhidi ya jiwe, yalikuwa majibu ya ovyo sana yalikosa uhalali wa vifungu vya sheriaa
 
Lisu tutamjibu wananchi kwamba huyo beberu wake si lolote hapa tz na tutailinda nchi yetu dhidi ya vibaraka aina yake
Kwa hiyo unatetea dhuluma na vurugu? Utawajibika kweli kwa yote yatakayotokea? Sisi haututaki tufike huko.
 
Lisu tutamjibu wananchi kwamba huyo beberu wake si lolote hapa tz na tutailinda nchi yetu dhidi ya vibaraka aina yake
mtailinda wewe na nani? mapolisi? sahau ndugu!

tunapoelekea October 28, sasa hivi umma ndiyo umeshika hatamu. ndiyo maana mgombea wenu kanywea vibaya sana ule ubabe kwisha habari yake - yaani Lissu kamuondolea confidence yote.
jana tu baada ya kuusoma upepo akasinyaa mwenyewe akaona atumie turufu ya kumpelekea Lissu "love letter" hadharani!

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako...
 
Kwa hiyo unatetea dhuluma na vurugu? Utawajibika kweli kwa yote yatakayotokea? Sisi haututaki tufike huko.
Hatutaki kuchagua mtu ataeongoza nchi kwa matamko ya beberi wake sisi
 
Mwaka huu lazima mfurahi tu!

Hatitaruhusu kibaraka yeyote atawale nchi hii kwa matamko na matakwa ya vibeberu vyake toka ubelgiji!

Tutailinda na kuitetea nchi yetu hii ya tz dhidi ya kibaraka yeyote.

Na oktoba tutamrudisha alikotoka.

Tunajua alienda kwa matibabu, lakini cha ajabu karudi na beberu hili ndio hasa litatufanya tumrudishe kwa huyo beberu wake
 
kuleni vya mwisho mwisho kabla Lissu hajawafurusha October!
 
Huyo Amsterdam aache kiherehere!

Uchaguzi wetu yeye unamhusu nini?

Naona kuna kitu anakitafuta. Na atakipata tu...
Mkuu do you have a slightest idea of who is paying this guy ? Maana ni wakili ghali sana duniani! Am sure Lisu hana fedha ya kumlipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…