Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

Kwa hiyo hapa kuna dikteta nae atakamatwa kama kina Gadafi?

Subirini kipigo hiyo oktoba, na wala hizo barua hazitawaongezea kura!

Kura zipo huku field ambako Lisu na chadema hawajui
Humuwezi bila polisi na bao la mkono.
 
Utopolo mtupu, hawana lolote hao! They are toothless dogs!
Najaribu ku zoom makali ya hiyo barua: najiuliza nikipata mteja kama Bob wine kisha nika mdunda barua IGP wa Uganda barua kama hii. Itakuwa na mashiko yoyote?
 

Adui yako ndio rafiki yangu against wewe this implies Adui wa Serikali ya Magu means Lisu ndie rafiki wa Mabeberu against serikali ya Tz, well said
 
Kwa sasa ngoja nisome na kukaa, nimeweka stopwatch iki_count kuifikia jumatatu...
 
Mmajaribu kwa nguvu nyingi sana kuprovoke mpate sympathy! Mkija kishali bakora ziko pale pale
 
Hii inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale, CCM wametaitishwa kwenye angle ngumu sana mwaka huu.

Go Lissu . Our President from October 2020
Hao mawakili wanamjaza tu Lisu upepo, ila watambue Magufuli ni mtu wa misimamo thabiti hata ikiwa misimamo mibaya hakuna wa kumyumbisha.
 
Wewe unaweza kuitwa mpumbaf, arrest warrant uliandika wewe?
Kule Ntwara watu kama nyie tunawaambia N'domwenyu!
 
Hii inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale, CCM wametaitishwa kwenye angle ngumu sana mwaka huu.

Go Lissu . Our President from October 2020
Jifunike makuti jifikirie vizuri acha kukurupuka, tutasafisha mpaka Amsterdam.. Don't try to underestimate the power of our country and our his excellent president John Magufuli.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
The message is short and clear. It means the world is watching and if you do anything on him international criminal measures will be taken against you!
The world is watching what ? We are not here to be watched and let me tell you that this time Lissu is not our subject.There are lot of things to do and more important than your hopeless Lissu and that letter is as good as useless.
 
Adui yako ndio rafiki yangu against wewe this implies Adui wa Serikali ya Magu means Lisu ndie rafiki wa Mabeberu against serikali ya Tz, well said
Adui wa vitendo vibovu vya mawe sio adui wa Watanzania

Infact,ni rafiki wa Watanzania kuzuia authoritarianism yake kwa poor innocent Tanzanians
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa
 

‘’Mchawi mpe mwanao akulelee’’
 

Sina chochote ninachosimamia kwenye hiyo barua maana nina uzoefu na hizo barua za hivyo. Ila Lissu hajawahi kukimbia mahakama yoyote maana mahakamani ndio eneo lake la kazi. Lissu alikuwa nje ya nchi kwa matibabu baada ya shambulio la kinyama. Hao wadhamini lazima watakuwa wamepewa vitisho na serikali, ili kuwafanya siku nyingine waogope kumdhamini mtu. Hivyo ni vitisho vya kawaida kabisa kwa serikali za kidictator. Wala Lisu haogopi lolote, bali ataenda mahakamani bila hata pressure ya hao wadhamini mnaowatia jamba jamba mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…