Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

Your neck will be first be broken..always imperialists symphasizers will be the first to die...
Mkuu vyema kuchagua maneno ya kufaa. Tumeshachafuka kimataifa, hatua zozote watakazoamua kama ni hasi ni suala la muda kabla halijamgusa kila mwananchi. Usione fahari kuuawa wenzio kwa sababu tu utofauti wa kimtazamo. Ni upumbafu, kama kweli unaipenda nchi yako kwa sababu madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi
 
Hiyo kampuni kwanini iitwe Amsterdam and Partners wakati haina nasaba na Amnesty International iliyoko The Hague , Uholanzi.

Au hiyo kampuni imefunguliwa purposely kwa ajili ya kuandika barua hii.
 
Hiyo kampuni kwanini iitwe Amsterdam and Partners wakati haina nasaba na Amnesty International iliyoko The Hague , Uholanzi.

Au hiyo kampuni imefunguliwa purposely kwa ajili ya kuandika barua hii.

Amsterdam ni jina la familia la wakili Robert Amsterdam.
 
You are so blunt...

The personal rights are demanded and not requested...

You are not free and sovereign if you are confined to this world....!
Confined to this world!? Tell that to Saudi Arabia who slaughtered their very own famous journalist in a foreign land(Turkey) and no one did anything..or the human rights matters when there is interest?!
 
Mtaongea maneno yote mwaka huu. Tumechoka kuongozwa na sera zenu za kijamaa zinazotufanya tuwe masikini kila leo.

Lissu ndo raisi wako kuanzia October 2020. Tunafanya kama Malawi mwaka huu
Endeleeni kuota ndoto nyevu
 
Tunaelekea kule Mgabe alikoipeleka Zimbabwe. Lkn pia kutakuwa na watu wataitwa The Hegue, nahisi ni wengi hasa wale wanaoona utumishi wa UMMA ni kuitumikia ccm.
 
Wathubutu kumkamata
 
Au ni ule usemi wa kiswahili kuwa "Mchawi mpe mwanao akulelee" Yawezekana kuna maana hiyo na inaweza kufanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…