Open Marriage ni ndoa ya ajabu sana

Mahusiano mengi ya kibongo ni sawa na open relationships tu sema hayako rasmi. Na hii ndio hupelekea watu kuumizana kila uchao. We need to advance ni ngumu sana kwa mwanaume kuwa na wivu na malaya.
kwann tusiende more advance na ss ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† ww unaweza kuishi ndoa ya hivi?
 
Hahahahahhq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni Ndoa ambayo inaruhusu mtu yeyote anaweza kuwa na mtu mwengine ukiwa nje ya nyumba inaweza vipi kuvunjika wakati unaruhusiwa kudate na mtu yeyote mahusiano ambayo hayana wivu ndio haya.
Jada na smith hawana kwa sasa hawana mahusiano ya kimapenzi au kingono ila wanaendelea kuwa pamoja kama partners, in case mmoja wao akataka kuwa na mtu mwingine ni ruksa lakini wanaendelea kuishi pamoja.
 
Duniani kuna mambo sana! Wenzetu Wapo open sana. Kupiga kitu cha threesome sio issue kabisa.
Umenikumbusha mwaka mmoja jamaa yangu alikuja na rafiki zake wakizungu zilikuwa couple 2 cha kushangaza sasa wale wanaume walimuomba mwenyeji wao awatafutie mwanamke mweusi wanahamu ya kujua ladha yake inakuwaje na kweli walikuja kumchapia pleple home na madem zao wapo sebleni na fresh kabisa no wivu no ugomvi hiyo cha mtoto sasa kuna siku sikuwepo nakuja kurudi usiku jamaa ananiambia na mademu nao walitaka kuchapwa na jamaa wa kiafrika jamaa akaomba ruhusa kwa mabwana zao wakasema it's okey kweli jamaa akatoka si unajua uswahilini wabongo tunavyopenda kitonga fasta tu akarudi na wana bila kujiuliza mara mbili mbili wakajua inaweza tokea fursa ya kwenda mbele kumbe wale wapo kistarehe tu basi wadau wakawachapa sana wale madada wa kizungu walitokea kuwaelewa ikawa wanawahonga honga ila hawakuondoka nao likizo ilipoisha wakaondoka zao ila kuna mmoja aliachiwa shooting camera hadi leo anayo inamuingizia pesa!
 
Katika watu ambao nawakubali yani movie,life, ni will Smith Natamani siku nimuone muhuni live ni kitambo nakubali sana life like yupo vizuri sana kwenye yani anaweza kushawishi kuingia kwenye industry hiyo! Ila kwa upande wa dogo ameharibu kinyama kama ni kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ