Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Mbona ana mume na watoto wakubwa kama mi na wewe?[emoji849]Ila namuonea huruma mke wa will wa kwanza .
Yule maana Ali file divorce enzi hizo akijua will atapotea maboya
Nahisi huwa anajutia sana uamuzi wake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheree ni mke wa mtu now! Naona huyu mama anajiheshimu sana, urafiki ni kwa ajili ya mtoto wake na will basiAliamua kurudisha urafiki
Ni rafiki wa Jada kabisaa hadi wanaenda family vacay nao
Nahisi wanafanya threesome wale sio bure
Ulikuwepo wakatia anampa ?Anapoteza maboya tu lakini will alimpa go ahead Alsina.
Jada yuko bias mno na personal yake kwenye Red talk , ngoja tuwait..Lazima azungumzie hii ishu.
Nazani ww ni mgeni sana na hii ndoa na hujui drama zake ungejua wala usingeuliza maana haya mambo hayakuanza leo toka 2010 huko. Na mm kuandika sana siwezi kwahiyo vitu hivi najua toka miaka hiyo nasio leo tu.Ulikuwepo wakatia anampa ?
KipangaspecialUkweli wanaujua waoView attachment 1498608
ww ulizani angekubali Will au Jada [emoji38][emoji38][emoji38] jiongeze mzee wangu.Both Jada and Will have denied Aulsina's claims
Umemaliza mzee wangu [emoji91][emoji91]Ukweli wanaujua waoView attachment 1498608
Sometimes hii threesome unaweza kupewa kama suprise gift kwenye tukio maalum kama siku ya kuzaliwa, nk.Wenzetu wako tofauti kidogo! Sometimes wanandoa wakiboreka kwenye sex wanatafuta other couple then wanabadalishana wapenzi ili kutafuta ladha mpya. Au wanaweza kununua malaya then wanapiga kitu cha three some.
Pia Kuna Swingers Club.
Ila ndoa na Jada na will Smith ni ya kitofauti sana.
Ndiyo maana haivunjiki.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] hawa watu ndio wanajua mapenzi kwakeli kwa wanavyo Ishi haya maisha yao wanaenjoy sana.
Ni kweli huyu mama ni lesbian na bado anabemenda watoto wa watu.Nini tena mdogo wangu!
Ni masharti ya mganga, au kiki kwa album yake mpya, ooops le super Mario!
Unapewa zawaidi ya 3some na wife. Unaingia home unakuta suprise ya mtoto mkali halafu wote wanakuvamia. Haachwi mtu hapo.Unaposema huko kwa wenzenu, kwanza wengi tu hawana ndoa... hasa hao unaofikiria.
Threesome!!!
Tatizo wabongo wana wivu wa kijinga. Unakuta washaachana kitambo ila jamaa akukute na upo na huyo mwanamke lazima akuanzishie valangatiMahusiano mengi ya kibongo ni sawa na open relationships tu sema hayako rasmi. Na hii ndio hupelekea watu kuumizana kila uchao. We need to advance ni ngumu sana kwa mwanaume kuwa na wivu na malaya.
Unapewa zawaidi ya 3some na wife. Unaingia home unakuta suprise ya mtoto mkali halafu wote wanakuvamia. Haachwi mtu hapo.
ww ulizani angekubali Will au Jada [emoji38][emoji38][emoji38] jiongeze mzee wangu.
Mzee hujaelewa nini hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Umetumia lugha ngumu sana!
Ni kweli alikuwa ana sura Fulani hivi ya aibu aibu but illuminate walimtumia vibaya sanaHivi mj alikuwa anatumika? Mbona alikuwa mtu mwema sana