A
Anonymous
Guest
Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo hawatoi mrejesho kuwa itarudi lini.
Kozi ambayo ilitakiwa ichukue miezi 18 (miaka miwili ili mtu uhitimu) inachukua miaka mitatu hadi minne bila kupata mrejesho wowote kutoka chuoni.
Lakini pia mtu unajikuta kwenyw proposal unapangiwa penel hiyo hiyo moja ambayo haina wataalamu wa CED ambao watasaidia kutoa marekebisho kitu kinachosababisha usumbufu kwa wanafunzi kwani hakuna majibu, wala hakuna mrejesho wowote wasimamizi wa hizi CED proposal.
Wapo busy kila siku bila kupitia kazi sasa wanalipwa kwanini?
Serikali iingilie kati ili watu wagraduate kama inavyotakiwa