Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.


My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.
 
Hawa wenzetu hawana sifa za kijinga kamwe hutasikia Obama akiitwa Dk. Obama tena aliyopewa na nyie.
 
Obama alipewa tuzo ya Nobel mwezi mmoja tu baada ya kuwa rais:becky:
 
Kulikuwa na harakari za kumnyang'anya tuzo hiyo...kutokana na kutokuishi yale aliyoyasema wakati anaingia madarakani

Kwanza alipewa kwa nini alichokifanya? Zero, zilch, nada! Hakustahili kabisa kupewa tuzo ya Nobeli.
 
Teh teh kwi kwi kwi

Nchi ya kitu kidogo
Nchi ya watu wadogo

PhD ina msaada ?
 
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.


My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.


Wa Tz kwa kupenda sifa
 
Mungu wangu! Basi kwa staili hii jk anaweza kumkabidhi Ritz1 Obama maana ndo kesharuhuru Uliberali (DOMA) so anaweza kuwa wifi yao. Duu!
 
Ocean road nayo kapewa ataifungua na kuitwa barak obama avenue
 
bwahahahaha this kentri bana aiseee.....
 
Obama ni profesa wa sheria wala hahitaji hiyo miPhD yenu ya kupeana.
 
Hii nchi majanga
Yaani obama kutaka tu kutia mguu katunukiwa phd!!!!
Hiki chuo kinaanza kutoa tafsiri mbaya
 
Watanzania kwa kujipendekeza utawaweza basi??Ili na yeye aambiwe amemshika Obama mkono au? Nonsense.....I say it again Nonsense.......Na lile vumbi pale Biafra wanashindwa kukiinua chuo wanabaki kujipendekeza kwa Obama.
 
Back
Top Bottom