Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa na harakari za kumnyang'anya tuzo hiyo...kutokana na kutokuishi yale aliyoyasema wakati anaingia madarakaniObama alipewa tuzo ya Nobel mwezi mmoja tu baada ya kuwa rais:becky:
Kulikuwa na harakari za kumnyang'anya tuzo hiyo...kutokana na kutokuishi yale aliyoyasema wakati anaingia madarakani
aujourd'hui
Wakuu,
Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT)
Wame mu award Obama PHD.
Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi.
My Take.
Kuna watu wanaweza hata kumzawadia Obama Wake ama Ma Bint Zao.
So hii PHD ya OUT Ndo inamafaa Huyu Bwana