Tetesi: Operation KAKUCHA yazaliwa Arusha baada ya UKUTA kuyeyuka

Status
Not open for further replies.
Yaani we jamaa sijui ukoje!? Kila siku una ripoti habari za CHADEMA, hivi hauna habari za FISI-M wenzio? Acha umbea kijana, utatafutiwa gogo la kukalishwa upakwe mafuta.. Shauri yako.
Zinanivutiaa labdaa nakaribia kuja huko kama fisadi mliepokea na kumgeuza shujaa wenuuu
 
Ingieni barabarani muandamane mkutane na vijana wa kazi wakang'oe kakucha kinu hako kanako wawasha.
 
Kiongozi nimegoogle ila hakuna supportive links za elimu uliyopitia nimeikuta hiyo tu.
 
Mleta Thread ushambiwa mara hii na buku 3/7 au huknywa bia nabhatimaye umekunywa piwa na chmpuni na kula haramu??
Vijana wa CDM ni Great Thinkers and NOT stomach Thinkers and Seekers kama huko mliko nyimwa akili na maarifa na Allah pamoja na laana za Watz.
Unanikumbusha ng'ombe wetu alivimbiwa kwa kula malailoni sasa wewe sijui umekula nini na ili tubidi tumtoboe TUMBO kutoa Carbondioxide sasa sijui wewe na tukufanyie kama yule ng'ombe wetu kukunusuru au tukuache fe na dhambi zako ikiwemo kutumika vibaya???
 
Rubbish,
CDM si CDM, CCM si CCM. Mbowe kasema si maamuzi yote ya viongozi yatamfurahisha kila mtu ukiwapo wewe usiyekuwa na kazi ya kufanya zaidi ya kusubiria uambiwe kuandamana. Hata hivyo Mbowe hajashika miguu yako, andamana siku yoyote utakayoichagua..
 
Juzi tu mlileta habari kuwa vijana wa arusha wanaupinga UKUTA, Leo tena watu wale wale mnaleta habari kuwa vijana wa Arusha wanalalamika UKUTA kuhairishwa.

Hivi nyie uvccm mnadhani watu wote ni vichwa maji kama nyie?
Mkuu hivi unaaamini kabisa chadema kuna watu wenye think tank kubwa kweli

Moja kati ya muujiza uliopo chadema ni profesa baregu kuaamrishwa na profesa mbowe ha ha ha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…