Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Sifa za kijinga zimewarudia ninyi kwa sasa mnasifia vitu ambayo havina tija kwa sasa.Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie.
Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi.
View attachment 1821650
Zamani mlitukana watu wanapomsimamisha magufuli na kumsifia.
Leo mmejigeukia wenyewe, kila siku mbowe kasimamishwa.
Uchaguzi ni mpaka 2025 hivyo hayo hayatusaidii kwa sasa, yeye asimamishwe hata na samaki na wanyama poli na migugo bado haitawasaidia.
Leteni mambo ya kuendeleza nchi na sio misifa yenu ambayo kila siku haiwasaidii.