stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie.
Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi.
View attachment 1821650
shujaaa wa ufipa