Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

Sifa za kijinga zimewarudia ninyi kwa sasa mnasifia vitu ambayo havina tija kwa sasa.

Zamani mlitukana watu wanapomsimamisha magufuli na kumsifia.

Leo mmejigeukia wenyewe, kila siku mbowe kasimamishwa.

Uchaguzi ni mpaka 2025 hivyo hayo hayatusaidii kwa sasa, yeye asimamishwe hata na samaki na wanyama poli na migugo bado haitawasaidia.

Leteni mambo ya kuendeleza nchi na sio misifa yenu ambayo kila siku haiwasaidii.
 
Uongozi ni Kipawa

 
Pole mkuu , unalia nini sasa ?
 
Labda ni kweli, ni picha ya zamani, lakini huyo jamaa mwenye kapero siyo Lisu, utakuwa na wewe unajaribu kutupiga changa la macho! Alafu hiyo T-shirt ya Mwamba, ‘Tunasoga ki-digital’, ni kitu cha majuzi!
 

..unahitaji miwani.

..au simu mpya.
 
Sema wakati huo huo mbowe akiwa ktk Tshirt ya Chadema kidigitali
 
Wewe ni juha tena juha la siku nzima
 
Tupo nyuma yako kamanda Mbowe.
 
Hapo ndipo unapoonyesha ulivyo Kama ulanzi wa juzi
 
Exquisite! Excellent! Very nice! "Roho kwatu"!
 
Pole. Humfahamu Lissu alivyo kwa kuwa unaogopa kumtazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…