Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Hahahaha.. tushawazoea mkuu, ndio maana pamoj na ushenzi wote wanaofanya lkn bado watu tunaishi na kuendelea na shughuli zetu kama kawaida.Ila **** mijitu ina roho mbaya uko hata sijawahi kujua ni kwanini!!!!
Yanachagua kazi za kufanya halafu wabongo wakiwa wanazifanya kazi ambayo wao hawazipendi wanawajengea chuki na kuchoma maduka[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app