Nakuelewa heri yako hata maswali umeyakumbuka vyema. Hata mimi nmepigwa na kitu kizitoNimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.
Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza kushuka… ila pale ndani ubongo ulipararaiz huwezi amini.
Nimefanya Oral ya Tax Management Officer II.
MASWALI YAO HAYA👇
1. Introduce yourself
2. Four Entities required to register with VAT apart from those reached threshold
3. Five Characteristics of a good taxation
4. Five Advantage of double taxation
5. Four Methods of Trade protection
6. Four Circumstances that make a commissioner to adjust or Jeopardy Assessment
EXTRA👇
What is your salary expectation
ZINGATIA👇
Najua utasema rahisi kwa kuwa uko nje ya kile chumba, hata mimi nilipofika nyumbani nilijipiga makofi ya uso kwanini sikuyajibu vyema. Of course ni rahisi sana, lakini sio ukiwa umebananishwa chobingo unexpected huku ubongo wako ukiimba baadhi ya materials yaliyopo kichwani ili yasikutoke.
Kama Kuna sehem nyingine yakupeleka haya maneno yako yapeleke lakin sio mzaha huu kwenye panel.Wewe utakuwa mchumba kwenye kujieleza. Umejikuta unajiuma uma na kujishika vidole. Maswali ya kawaida kabisa hayo
Seriously, Elimu ikupe skills na ikujengee uwezo wa kujieleza. Kama hayo maswali yamempa taabu basi elimu haijamsaidia. Yaani akifunga vitabu anabaki mtupu kichwaniKama Kuna sehem nyingine yakupeleka haya maneno yako yapeleke lakin sio mzaha huu kwenye panel.
Ogopa saana kama umeshawahi unajua nn anazungumzia
Mpaka nimekumbuka hayo maswali mkuu bado Una-judge uwezo wangu? Mpaka nimepita kutoka Written interview kwa 65 bado unani-judge mkuu?Seriously, Elimu ikupe skills na ikujengee uwezo wa kujieleza. Kama hayo maswali yamempa taabu basi elimu haijamsaidia. Yaani akifunga vitabu anabaki mtupu kichwani
Naomba kukuuliza kiongozi kwenye usaili WA oral maswali uwaga mafupi mafupi kama hvo au kunakuaga na swali refu mzigo au inategemea na sehemu au kada? Kama maswali yanakua mafupi hvo maana yake Hauna haja ya kuchimbua vitu ndani sana just simple explanation na wakat mwingine ni kumeshen TU. Naomba ufafanuz m ni MPYA ndo nategemea kufanya interview yang ya kwanza Tena ni oral Moja Kwa mojaJiandae kwenda kuanza kazi
Kiongozi muelewe, hajasema kuwa akifunga kitabu au daftari anabaki mtupuSeriously, Elimu ikupe skills na ikujengee uwezo wa kujieleza. Kama hayo maswali yamempa taabu basi elimu haijamsaidia. Yaani akifunga vitabu anabaki mtupu kichwani
Asante kwa kutupa moyo watu kama sisi. UbarikiweUsiweza muda mwingine inategemea na washindani wamejibu vip ..Mimi interview yangu hakuna swali niliwahi kuliona tangu nisome chuo ila nimepita , mengi yalikuwa ya field kabisa watu waliokuwa wanafanya kazi.
Maajabu ni kwamba wenye uwezo wa kujieleza na wenye experience wametemwa kuingia oral kwa marks chache sana.Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau.