Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Channel Ten wengi hatuioni, inaonekena maeneo fulani ya mji kwingine tabu kuona.......hivi kuna mtu ameshawahi kuangalia VIMBWANGA TIME? Hili ni kundi jingine la vichekesho linalopatikana Channel 10, siku za Jumamosi kuanzia saa 2 usiku na kurudia Jumapili na Jumanne saa 10 jioni..................hutatamani kuangalia tena hao Orijino Komedi!!!
......hivi kuna mtu ameshawahi kuangalia VIMBWANGA TIME? Hili ni kundi jingine la vichekesho linalopatikana Channel 10, siku za Jumamosi kuanzia saa 2 usiku na kurudia Jumapili na Jumanne saa 10 jioni..................hutatamani kuangalia tena hao Orijino Komedi!!!
Inaonekana kuna uhusiano wa karibu ssana kati ya wanamtandao na mafisadi... Tido Mhando ni mwanamtandao aliesaidia sana kampeni za "JUMA KILAZA" (JK) alipokuwa BBC na akazawadiwa ukurugenzi kama asante toka kwa JUMA KILAZA.
Channel Ten wengi hatuioni, inaonekena maeneo fulani ya mji kwingine tabu kuona.
Haya ni maono au mtizamo wa watu mlio kuwa mnapenda Ze commedy wawe wanarusha EAT au chanel 5 mbona vijana wapo juu na wanakula maisha na kuchekesha kama kawa mtaani wanakamata sana vichwa...nyie endeleeni na hoja zenu zaifu.
Waache wajiandalie kifo kwa tamaa zao.Huwezi kukaa kwa kuwatete watu kwenye Luninga halafu useme ni vichekesho bali ni wizi mtupu.Nadhani ze comedy hawajui maana ya comedy ndiyo maana wamejikuta katika matatizo na watu mbali mbali. Wao wanachofanya ni kejeli "satire" na si vichekesho "comedy". Comedy inapaswa imfurahishe hata unayemuigiza na huangaliwa na watu wa umri na rika zote, lakini kwa hawa ze komedi kuna baadhi ya sehemu wanazoigiza ni kinyaa kutazama ukiwa na watu wa heshima. Mi nilishaacha kuwatazama siku nyingi tu they are redoubling their efforts when they have forgotten their aims.