mwaarabu wa dubai
Senior Member
- Aug 5, 2015
- 100
- 44
Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya ni majaliwa ya Mungu,leo kundi la OK linasimama majukwaani kwenye kampeni za ccm hata kutoa post mitandaoni za kudhihaki afya ya Lowassa wamesahau yalimpata mwenzao Vengu? mwaka wa nne leo yuko kitandani.ikumbukwe huyu jamaa alikua ni bingwa wa kumuigiza Mrema na maradhi yake kwa bahati mbaya Mungu kampiga kofi leo hii yeye ndio yuko kitandani na Mrema huyoooo yuko mzima kabisa.
Tukumbuke tunayo yafanya Mungu anatuona.kuna Leo na kesho.
Ze comedy hawana mvuto na mda mrefu ka miaka miwili sijaangalia kipindi chao. Tatizo ubunifu zero sasa ukishamkashifu afya ya mtu ndo umeongeza kura za CCM mijitu mingine bwana. Wananchi wanawachora tu kuna watu wazima na wanakufa ghafla usingizi. Wanatukana wakunga na uzazi ungalipo.
Mkuu hatudharau afya ya mtu.. Kumbuka hatuchagui rais pekee pia tunachagua amiri jeshi mkuu...... Afya ni kigezo ktk kazi yoyote na si urais pekee??
Mkuu hatudharau afya ya mtu.. Kumbuka hatuchagui rais pekee pia tunachagua amiri jeshi mkuu...... Afya ni kigezo ktk kazi yoyote na si urais pekee??
Wanachojua ni kuigiza matangazo ya pspf sijui mifuko ya mafao afu wanatuambia ni vichekeshoNimewatoa maanani sana hawa watu kwanza kuchekesha yenyewe hawajui tena wanatumia uzoefu tu saiv
Hahahaaaa wamechuja hivyo hawasikiki ila wapoHivi ze comedy bado ipo,?
Ndugu ungetuwekea hzo kashfa hapa.
haiitaji hata elimu ya ya darasa la saba kung'amua nani mlengwa kwenye hii tweet ya Orijino Komedi.
Hata Wema na Steve nao wamefanya upumbavu huo...hivi kweli Wema ni mzima? Hivi kweli Steve Nyerere ni mzima?
Sasa mnataka tupeleke maiti ikulu,si Wote tutaonekana we hu na majuha!!!.
Sasa mnataka tupeleke maiti ikulu,si Wote tutaonekana we hu na majuha!!!.
Sasa mnataka tupeleke maiti ikulu,si Wote tutaonekana we hu na majuha!!!.