imagenyce4real
Member
- May 25, 2015
- 31
- 3
Ndiyo maana nikiwa kwenye mood ya kuangalia Comedy huwa naangalia Churchill ya Kenya yaani unajikuta unacheka na kutoa stress zote kabisa....Hata kama sintokuwa mzalendo lakin unakuta unaangalia Original Comedy unatafuta wapi utacheka mpaka show inaishia hakuna kichekesho hata kimoja.
Sikuiz kuangalia Ze comedy nikuongeza stress tuu