mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Subiri tar 24 utaona kocha wat timu gani atatimuliwa.Mashabiki wa Orlando Pirate wanataka kocha na msaidizi wake waondoke! Wamejionea wenyewe jinsi timu yao ilivyonyanyaswa!! Hawakubali ngonjera za hujuma!! Unamchezea hivyo mshambuliaji ndani ya penalti box unategemea nini?.
Mimba anapigwa Amina , kichefuchefu kwa msukule.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Subiri tar 24 utaona kocha wat timu gani atatimuliwa.
Subiri tar 24 utaona kocha wat timu gani atatimuliwa.
Tatizo ni utopolo kufikiri hii ni ligi ya NBC yenye timu za Mbeya kwanza. Huku ni kwa wanaume.Hivi una habari kuwa kati ya timu 8 zilizoingia robo fainali SIMBA ndiyo Ina matokeo mazuri zaidi baada ya mechi ya Kwanza?
Si vibaya ukipongeza!
Kolo umeshatoka we jitutumue kwa kimoko chako lakini ukweli unaujuaTatizo ni utopolo kufikiri hii ni ligi ya NBC yenye timu za Mbeya kwanza. Huku ni kwa wanaume.
Sijui hii inachukuliwaje! Lakini kuna somo kubwa sana Simba kwa timu zilizocheza away.Hivi una habari kuwa kati ya timu 8 zilizoingia robo fainali SIMBA ndiyo Ina matokeo mazuri zaidi baada ya mechi ya Kwanza?
Si vibaya ukipongeza!
Zile dk 20 za mwisho wala zisikutishe. Simba waliamua kuwekeza nguvu kwenye kushambulia wakaacha kiungo mkabaji mmoja ndio maana wale jamaa walionekana bora. Kwenye mechi ijayo usidhani Simba wataingia kizembe. Subiri tuone.Vipi zile dk 20 za mwisho bado waliendelea kuchezewa nusu uwanja
Cha kusikitisha huyu naye unaweza kuambiwa ni mchambuzi wa mpira kwenye viredio vyetu vinavyoishia magomeni.Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo.
Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala ya kizamani!
Na posho ya uchambuzi analipwa! Kuna maajabu mengi nchi hii tumekomalia ripoti ya CAG wakati kuna vulaza wanaharibu sifa za wachambuzi.Cha kusikitisha huyu naye unaweza kuambiwa ni mchambuzi wa mpira kwenye viredio vyetu vinavyoishia magomeni.
wewe uchambuzi wako uko wapi tuusomeCha kusikitisha huyu naye unaweza kuambiwa ni mchambuzi wa mpira kwenye viredio vyetu vinavyoishia magomeni.
Nitakwenda kukuchambulia kinachokwenda kutokea Soweto, baada ya kutolewa kule mtamkuta Mayele ameshapaka vumbi la Congo, baada ya mechi hiyo na Mayele kutetema ndio akili zitawarudia na kuusikia uchungu wa gap ya point 16, shughuri kwishney.wewe uchambuzi wako uko wapi tuusome
Wewe ni Yanga tu 🤣🤣🤣🤣Nitakwenda kukuchambulia kinachokwenda kutokea Soweto, baada ya kutolewa kule mtamkuta Mayeke ameshapaka vumbi la Congo, baada ya mechi hiyo na Mayele kutetema ndio akili zitawarudia na kuusikia uchungu wa gap ya point 16, shughuri kwishney.
HAHA safi sanaNitakwenda kukuchambulia kinachokwenda kutokea Soweto, baada ya kutolewa kule mtamkuta Mayele ameshapaka vumbi la Congo, baada ya mechi hiyo na Mayele kutetema ndio akili zitawarudia na kuusikia uchungu wa gap ya point 16, shughuri kwishney.
Tunatumia takwimu/statistics za dakika zote 90! Mchezo wa kandanda ni dk 90. Ndiyo maana timu ya wiki ya CAF karibuni nusu yake ni wachezaji wa Simba!! Kati ya 11 Simba imeingiza wachezaji 5!Vipi zile dk 20 za mwisho bado waliendelea kuchezewa nusu uwanja
Angalia mabadiliko yaliyofanyika pia kwenye kikosi cha Simba, walitolewa viungo wakabaji kisha wakaingizwa washambuliaji ni lazima mchezo ungebadilika tu pale kati.Vipi zile dk 20 za mwisho bado waliendelea kuchezewa nusu uwanja