Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.)

1749781754169.png


Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.)

1749781079146.png


Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (Commander of the IRGC Aerospace Force.)
1749782051130.png

Ali Shamkhani - Kiongozi wa idara ya nyuklia na mshauri mkuu wa Ayatollah

1749783073323.png


Iran kuna majeshi makuu mawili, IRGC (Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu) wana jukumu kuu la kulinda mfumo wa utawala wa Kiislamu ndani ya nchi, kueneza ushawishi wa Iran nje ya nchi na kufadhili vikundi vya washirika kama Hezbollah. Kwa upande mwingine, jeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jeshi la nchi linahusika na ulinzi wa kitaifa wa kawaida, ikijumuisha kulinda mipaka ya Iran
 
Bomu linapigwa kutokea Iraq linaingia Hadi chumbani. Kweli hizi ni precision strikes. Yaani tofauti na zile za Hamas na Hesbullah ambapo Bomu lilikuwa linashusha jengo zima, huku Iran linadili na apartment alimolala generali tu na familia yake.

Mossad kweli ni mababa wa Intelijensia. Iran hawana cha kujibu wajikite kwenye mambo ya maendeleo binafsi na waachane na bifu na Israel. Kwa maana nyingine IDF wangeamua Leo asubuhi nchi ingeamka haina Rais, wabunge, mawaziri, viongozi wa kijeshi yaani raia tu ingewezekana
 
Bomu linapigwa kutokea Iraq linaingia Hadi chumbani. Kweli hizi ni precision strikes. Yaani tofauti na zile za Hamas na Hesbullah ambapo Bomu lilikuwa linashusha jengo zima, huku Iran linadili na apartment alimolala generali tu na familia yake.

Mossad kweli ni mababa wa Intelijensia. Iran hawana cha kujibu wajikite kwenye mambo ya maendeleo binafsi na waachane na bifu na Israel. Kwa maana nyingine IDF wangeamua Leo asubuhi nchi ingeamka haina Rais, wabunge, mawaziri, viongozi wa kijeshi yaani raia tu.
Iran anatumia budget kubwa Kwaajili ya ufadhili wa makundi ya kigaidi badala ya nchi yake.
Ndiyo waarabu wenzake wanamkataa
 
Iran anatumia budget kubwa Kwaajili ya ufadhili wa makundi ya kigaidi badala ya nchi yake.
Ndiyo waarabu wenzake wanamkataa
Kama Adui anajua Maficho ya viongozi wote na wanasayansi ni uongo kusema hajui zilipo site za nuclear. Kwa mujibu wa taarifa zisizorasmi KWA DAKIKA 30 IDF imeteketeza site zote na programs zote za nuclear za Iran.
 
Bomu linapigwa kutokea Iraq linaingia Hadi chumbani. Kweli hizi ni precision strikes. Yaani tofauti na zile za Hamas na Hesbullah ambapo Bomu lilikuwa linashusha jengo zima, huku Iran linadili na apartment alimolala generali tu na familia yake.

Mossad kweli ni mababa wa Intelijensia. Iran hawana cha kujibu wajikite kwenye mambo ya maendeleo binafsi na waachane na bifu na Israel. Kwa maana nyingine IDF wangeamua Leo asubuhi nchi ingeamka haina Rais, wabunge, mawaziri, viongozi wa kijeshi yaani raia tu.
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom