watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Nchi wa wafadhili watakuwa bize na vita hivyo tutalazimika kukopa zaidi ili kuendelea kufanikisha matumizi ya bajeti yetu kubwa tusiyokuwa na uwezo nayoHii habari inatusaidiaje kupunguza deni la taifa?
Huyo wa jeshi la mapinduzi ameliwa kichwa na wanasayasi wanaoongoza miradi ya nuke wameliwa kichwaWamelengwa, je shabaha imepiga?
Wako hai?
Wayahudi sio poa.Huyo wa jeshi la mapinduzi ameliwa kichwa na wanasayasi wanaoongoza miradi ya nuke wameliwa kichwa
Naomba pdf ya hotuba ya bajetiHii habari inatusaidiaje kupunguza deni la taifa?
Pesa ni za mama, maendeleoa ni ya mama, mitano tena kwa mama, deni ni la mama sio la taifa, usituhusisheHii habari inatusaidiaje kupunguza deni la taifa?
Iran anatumia budget kubwa Kwaajili ya ufadhili wa makundi ya kigaidi badala ya nchi yake.Bomu linapigwa kutokea Iraq linaingia Hadi chumbani. Kweli hizi ni precision strikes. Yaani tofauti na zile za Hamas na Hesbullah ambapo Bomu lilikuwa linashusha jengo zima, huku Iran linadili na apartment alimolala generali tu na familia yake.
Mossad kweli ni mababa wa Intelijensia. Iran hawana cha kujibu wajikite kwenye mambo ya maendeleo binafsi na waachane na bifu na Israel. Kwa maana nyingine IDF wangeamua Leo asubuhi nchi ingeamka haina Rais, wabunge, mawaziri, viongozi wa kijeshi yaani raia tu.
Kama Adui anajua Maficho ya viongozi wote na wanasayansi ni uongo kusema hajui zilipo site za nuclear. Kwa mujibu wa taarifa zisizorasmi KWA DAKIKA 30 IDF imeteketeza site zote na programs zote za nuclear za Iran.Iran anatumia budget kubwa Kwaajili ya ufadhili wa makundi ya kigaidi badala ya nchi yake.
Ndiyo waarabu wenzake wanamkataa
Hatari sana.Bomu linapigwa kutokea Iraq linaingia Hadi chumbani. Kweli hizi ni precision strikes. Yaani tofauti na zile za Hamas na Hesbullah ambapo Bomu lilikuwa linashusha jengo zima, huku Iran linadili na apartment alimolala generali tu na familia yake.
Mossad kweli ni mababa wa Intelijensia. Iran hawana cha kujibu wajikite kwenye mambo ya maendeleo binafsi na waachane na bifu na Israel. Kwa maana nyingine IDF wangeamua Leo asubuhi nchi ingeamka haina Rais, wabunge, mawaziri, viongozi wa kijeshi yaani raia tu.
Safi SanaKama Adui anamjua Maficho ya viongozi wote na wanasayansi ni uongo kusema hajui zilipo site za nuclear. Kwa mujibu wa taarifa zisizorasmi KWA DAKIKA 30 IDF imeteketeza site zote na programs zote za nuclear za Iran.
Air defense system ilikuwa inaswali kumuomba Allah ikumbukwe huyu huyu Allah niwa Hezbollah na Hamas na Houthi. Na alitajwa tajwa sana siku ya uvamizi October 7.Air defense system leo ililala?
Sijui hata liko linalilia wapi maana nasikia sauti kwa mbali tuAyatollah na magauni yake amejificha wapi.