Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Embu fafanua kirefu mwenyekiti wao kapokaje madaraka!!!?kakuambia ama umeishughurisha mikono yako bila kushirikisha ubongo wako!?Si kwamba hawatarudi bungeni bali watanyimwa fursa za kukiwakilisha CCM kwenye uchaguzi.. Itoshe kusema kuwa CCM kama chama hakina nguvu tena na hakiwezi kusimamia katiba na taratibu walizojiwekea na hii inatokana na msukumo wa mwenyekiti aliyepoka madaraka yote ndani ya chama.
Tutajie na wabunge wa Chadema basi.Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4. Mh. Lusinde (Kibajaji)
5. Mh. Maghembe
6. Mh. Bashe
7. Mh. Nkamia
8. Mh. Sadifa
9. Mh. Simbachawene
10. Mh. Muhongo
11. Mh. January Makamba
12. Mh. Anna Tibaijuka
14. Mh. Kessi Ally
15. Mh. Badweli
Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
Kwa uwezo wa Tume ya uchaguzi na gesi retu ra police tutarudimo. IsharaWabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4. Mh. Lusinde (Kibajaji)
5. Mh. Maghembe
6. Mh. Bashe
7. Mh. Nkamia
8. Mh. Sadifa
9. Mh. Simbachawene
10. Mh. Muhongo
11. Mh. January Makamba
12. Mh. Anna Tibaijuka
14. Mh. Kessi Ally
15. Mh. Badweli
Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!