Lakini pia bila kufichana, mwaka huu wapinzani ni kazi nzito mno kwao kupenya kwenye majimbo ya CCM kuliko CCM kupenya kwenye majimbo Yao, mtanianiambia baada ya uchaguzi
Ngoja watetezi wao waje kuleta porojo hapa Ila Ukweli wanaujua kabisa!! Uchaguzi tuanaenda ni uchaguzi mwepesi mno kwa kila level!!
Typed Using KIDOLE
Hakuna mtu atakaeibiwa kura!! Ila waTZ sahv sio mapopoma wa kiwango unachofkria wewe wakachagua watu wasio na Impact kabisa
Typed Using KIDOLE
~Mamndenyi hiyo picha kwenye avator ndiye picha yako halisi.?
[emoji16][emoji16]hiyo ni danganya toto mkuuYule anayelala kwenye mawe nae nilimsikia akisema
Nani anataka kukaa kwenye haya maofisi
Nahisi nae amechoka ile kazi
Alinunuliwa kama dagaa.Mwita Waitara sababu kapoteza mvuto
Dr Shukuru Kawambwa, huyu jamaa sjui huwa anapitapitaje aisee, Naamini kabisa hataomba tena kugombea na hata akiomba hatapita na CCM wajue hivyo
Labda alisahau kumsalimia kisukuma
Ni sehemu ya bunge
Lazima arudiZito Kabwe hata atambike.
Ngoja Corona ipite[emoji16][emoji16]hiyo ni danganya toto mkuu
Madaraka ni matamu sana
16.aeshi wa sumbawanga drs la saba failure.halafu sijui kwanini tulia haendi kugombea rungwe??Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4. Mh. Lusinde (Kibajaji)
5. Mh. Maghembe
6. Mh. Bashe
7. Mh. Nkamia
8. Mh. Sadifa
9. Mh. Simbachawene
10. Mh. Muhongo
11. Mh. January Makamba
12. Mh. Anna Tibaijuka
14. Mh. Kessi Ally
15. Mh. Badweli
Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!
16.aeshi wa sumbawanga drs la saba failure.halafu sijui kwanini tulia haendi kugombea rungwe??
Labda alisahau kumsalimia kisukuma
Bagamoyo mjini moja kati ya Majimbo ambayo upinzani haujatilia mkazo. Ila Upinzani ukiamua unachukua Jimbo vizuri tu. Vijana wengi Bagamoyo maisha magumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:-
1. Mh Nape
2. Mh. Ngeleja
3. Mh Kitwanga
4. Mh. Lusinde (Kibajaji)
5. Mh. Maghembe
6. Mh. Bashe
7. Mh. Nkamia
8. Mh. Sadifa
9. Mh. Simbachawene
10. Mh. Muhongo
11. Mh. January Makamba
12. Mh. Anna Tibaijuka
14. Mh. Kessi Ally
15. Mh. Badweli
Waanze kujiongeza kuepuka aibu.Huwezi kuchukua viraza wakati wasomi wapo majimboni!