Orodha kamili ya makatibu wakuu wa CCM tokea ilipoanzishwa mwaka 1977

ANC ndio ina historia ya kujuvunia, sio hiki Cha majizi.
nadhani uMKHONTO WESIZWE ya J.ZUMA ina historia ndefu kuliko chama cha mapanyarodi na nyumbu- chadema dahπŸ˜€
 
Kwa uKatibu Mkuu CCM, kusini wanatisha inabdi tuwape maua yao ya maadili mema. Ni kama wanavyotisha Arusha na Moshi (Kaskazini) kwa nafasi ya Waziri Mkuu: SOKOINE, EDWARD LOWASSA, FREDRICK SUMAYE, CLEOPA MSUYA. Huyu MSUYA pamoja na Sokoine waliwahi kushika mara mbili kila mmoja
 
chama cha mapanyarodi chadema kina historia fupi ajabu aise dah πŸ˜€

ukitaja mbowe tu, basi ndio historia ya chama cha mapanya rodi imeishia apo πŸ˜€
CHADEMA ni genge la manyumbu na mafisi yenye njaa kali tumboni mwao na ndio maana yanapendekeza kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo ili yapate matumaini kiasi ya kushibisha matumbo yao.bila kujali kuwa itamuongezea mwananchi mzigo mkubwa wa gharama
 
Nakubaliana nawe hapo kwa JK ila ukiangalia msingi wa hoja ya KADA ni kwamba Hayati BWM kwenye kutobadilisha viongozi wake aliowateua alifanya vizuri zaidi. Hivyo ana imply kuna Kiongozi au Viongozi waliofuata hawafanyi kama Hayati BWM.
 
Ok
 
Acha uongo wako wewe . Usingeweza kunifanyia usaili mimi wakati sikwenda hata hatua ya usaili maana tulikatwa juu kwa juu baada ya mtihaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ halmashauri watu wabaya sanaa.
 
wabunge wanaowaita wa covi-19 asilimia 85 ni wives zao eti wanawafukuza chamani kwao πŸ˜€ jamaa kwa maigizo hawa dah
 
wabunge wanaowaita wa covi-19 asilimia 85 ni wives zao eti wanawafukuza chamani kwao πŸ˜€ jamaa kwa maigizo hawa dah
Yaani CHADEMA ni minyumbu sanaa eti nayo inakubali kweli kuwa wamekubaliana kuwafukuza .wakati wanajuwa fika kuwa ni wake wa viongozi wao na wanatumia madhara huo huo wa wake zao kulishwa matumbo yao
 
Acha uongo wako wewe . Usingeweza kunifanyia usaili mimi wakati sikwenda hata hatua ya usaili maana tulikatwa juu kwa juu baada ya mtihani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halmashauri watu wabaya sanaa.
Hiyo Halmashauri na nyinginezo si ni sehemu ya mfumo unaoutetea hapa kila siku? Nimebaini sasa kama unakubali kuwa Mifumo inawakata watu juu kwa juu, basi unatetea mambo usiyoyaamini ili tu uonekane na ndio maana unaandika bila kuacha kuweka namba ya simu.
 
Acha ujinga wewe nani kakwambia kuwa mifumo ni mibovu? Kwani mtu mmoja akiharibu ndio mfumo mzima mbovu? Kuna watu wachache tu ndio wanakuwa wanaharibu taswira nzuri ya serikali yetu.ndio maana hata waziri wa Tamisemi Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amekuwa akikemea sana masuala ya uonevu katika halmashauri
 
Acha uongo wako wewe . Usingeweza kunifanyia usaili mimi wakati sikwenda hata hatua ya usaili maana tulikatwa juu kwa juu baada ya mtihaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ halmashauri watu wabaya sanaa.
Sasa ndo ujiulize kwwanini Ulikatwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..

Lucas mwashambwa tatizo lako moja tu Ndo Jina tukatumiwa Tukukate Na tuzuie Halmashauri Wasikupe Hiyo Nafasi..

Unaongea Sana Ndo shida ilipoanzia hapo πŸ˜…πŸ˜…
Taarifa tulipozipata Tukaawaambia Huyo hatufai πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…