Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

dah,

wameniacha tena kwa mara nyingine 😎
 
Bakheresa ni tajiri ila hataki mali zake zihesabiwe amekataa ndio hayupo ktk Forbes za ndani watu wanasema bakheresa Mali zake na kampuni na viwanda unavyoona sio zake peke yake bali kuna share na watu that's why hataki kuhesabiwa kwakuwa Mali sio zake peke yake
 
Hujawafanyia haki mabilionea wa USD kuwapanga kwa TZS.
 
Dangote ana utajiri zaidi ya iyo 13 billion. Utajiri wake halis ni 84 billion usd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…