Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naomba kujua anaye ni namna gani Forbes wanawapata hao matajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah,Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika;
1. Aliko Dangote: TZS trilioni 34.8
2. Johann Rupert and family: TZS trilioni 25.3
3. Nicky Oppenheimer & family: TZS trilioni 23.5.
4. Nassef Sawiris: TZS trilioni 21.8
5. Mike Adenuga: TZS trilioni 17.3
6. Abdulsamad Rabiu: TZS trilioni 14.7
7. Naguib Sawiris: TZS trilioni 9.5
8. Mohamed Mansour: TZS trilioni 8
9. Koos Bekker: TZS trilioni 6.7
10. Patrice Motsepe: TZS trilioni 6.7
11. Issad Rebrab & family: TZS trilioni 6.2
12. Mohammed Dewji: TZS trilioni 4.5 - Mohammed Dewji amepanda kutoka nafasi ya 15, mwaka 2023 amnapo alikuwa na utajiri wa $1.5 billion sawa na TZS trilioni 3.8.
View attachment 2880393
Bakhresa hayupo, hawa forbes wanatania sana
Bakhresa hata top ten ya matajiri wa Tanzania hayupo.Duuu! Bakresa naona yupo ktk sector nyingi transport, foods, drinks, communication (tv & radio)
MOKwenye hii list kuna wachaga wangapi?
Mchaga wa singida au sio?
Amewahi kufika MoshiMchaga wa singida au sio?
Hujawafanyia haki mabilionea wa USD kuwapanga kwa TZS.Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika;
1. Aliko Dangote: TZS trilioni 34.8
2. Johann Rupert and family: TZS trilioni 25.3
3. Nicky Oppenheimer & family: TZS trilioni 23.5.
4. Nassef Sawiris: TZS trilioni 21.8
5. Mike Adenuga: TZS trilioni 17.3
6. Abdulsamad Rabiu: TZS trilioni 14.7
7. Naguib Sawiris: TZS trilioni 9.5
8. Mohamed Mansour: TZS trilioni 8
9. Koos Bekker: TZS trilioni 6.7
10. Patrice Motsepe: TZS trilioni 6.7
11. Issad Rebrab & family: TZS trilioni 6.2
12. Mohammed Dewji: TZS trilioni 4.5 - Mohammed Dewji amepanda kutoka nafasi ya 15, mwaka 2023 amnapo alikuwa na utajiri wa $1.5 billion sawa na TZS trilioni 3.8.
View attachment 2880393
Kwahiyo akifika Moshi anakuwa mchaga?Amewahi kufika Moshi
GSM wachuuzi tu haoGSM 🤭🤭
Mi wa 16Ww ni wa ngapi hapa!?
Ajapeleka taarifa kuleBakhresa hayupo, hawa forbes wanatania sana
Dangote ana utajiri zaidi ya iyo 13 billion. Utajiri wake halis ni 84 billion usdForbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika;
1. Aliko Dangote: TZS trilioni 34.8
2. Johann Rupert and family: TZS trilioni 25.3
3. Nicky Oppenheimer & family: TZS trilioni 23.5.
4. Nassef Sawiris: TZS trilioni 21.8
5. Mike Adenuga: TZS trilioni 17.3
6. Abdulsamad Rabiu: TZS trilioni 14.7
7. Naguib Sawiris: TZS trilioni 9.5
8. Mohamed Mansour: TZS trilioni 8
9. Koos Bekker: TZS trilioni 6.7
10. Patrice Motsepe: TZS trilioni 6.7
11. Issad Rebrab & family: TZS trilioni 6.2
12. Mohammed Dewji: TZS trilioni 4.5 - Mohammed Dewji amepanda kutoka nafasi ya 15, mwaka 2023 amnapo alikuwa na utajiri wa $1.5 billion sawa na TZS trilioni 3.8.
View attachment 2880393
Ni hadi uwape taarifa wao ili wakupost,wapo wengi ni matajiri zaidi ya hao lakini huwaoni wakiuza sura forbesWachuuzi tu hao
Hata Ally Edha Awadh mmiliki wa Lake Oil hawamfikii