BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
1. JAY Z : Baada ya kua namba 2 kwa kipindi kirefu kidogo hatimaye Jay Z karudi tena namba moja na utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 2 na Bilioni 25.. shukrani ziende kwenye uwekezaji aliofanya katika vinywaji vyake viwili kwa sasa vinavyofanya vizuri sokoni na pia kampuni ya Roc Nationa bila kusahau Tidal.
2. Diddy : Baada ya kutamba sana namba moja kwa muda mrefu katupwa namba mbili akiwa na utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 1 na Bilioni 850.
3. Dr. Dre : Utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 1 na bilioni 730. [HASHTAG]#apple[/HASHTAG] + beats by dr dre
4. Drake : Ameweka kibindoni hadi sasa Bilioni 225 za kitanzania.
5. Eminem : Pia ameweka kibindoni Bilioni 225 za kitanzania kwa mwaka huu hadi hivi sasa.