Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
1. JAY Z : Baada ya kua namba 2 kwa kipindi kirefu kidogo hatimaye Jay Z karudi tena namba moja na utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 2 na Bilioni 25.. shukrani ziende kwenye uwekezaji aliofanya katika vinywaji vyake viwili kwa sasa vinavyofanya vizuri sokoni na pia kampuni ya Roc Nationa bila kusahau Tidal.
Jay-Z.jpg

2. Diddy : Baada ya kutamba sana namba moja kwa muda mrefu katupwa namba mbili akiwa na utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 1 na Bilioni 850.
Screenshot_2018-04-05-14-53-52-1.jpg

3. Dr. Dre : Utajiri wa pesa za kitanzania Trilioni 1 na bilioni 730. [HASHTAG]#apple[/HASHTAG] + beats by dr dre
109831-full.jpg

4. Drake : Ameweka kibindoni hadi sasa Bilioni 225 za kitanzania.
Screenshot_2018-04-05-14-57-31-1.jpg

5. Eminem : Pia ameweka kibindoni Bilioni 225 za kitanzania kwa mwaka huu hadi hivi sasa.
Screenshot_2018-04-05-14-58-28-1.jpg
 
Mhh hii list inatoka marangapi? Hebu weka link tuone, nachojua Diddy is still on top
 
Tena kwa mda mfupi chamsingi ajipange sana
didy atarudi soon tu hapo...hiyo michezo keshaizoea ...alishawahi kuongoza sana miaka ya nyuma jigga akawa anafuata..then jigga akaja kukaa juu "" yeye akawa namba 2 ...ghafla akatokea 50 akawashusha nakukaa juu..kama miaka 2 hvi ..but jigga akajakumshusha ....jigga akatawala mchezo kama miaka3 hivi ..didy akajakurudi tena juu"" miaka ya hvi karibuni wote walipigwa kikumbo na dr.dree baada ya ujio wa beat by dre na cm za window "" didy akamshusha tena dre nakukaa hapo juu..mpka mwaka huu ameshushwa tena....so atarudi tu ..jamaa ni genius
 
Mda utaongea huu ndio ushindani jamaa wanafukuzana kipesa nasio kuposti mitandaoni
 
didy atarudi soon tu hapo...hiyo michezo keshaizoea ...alishawahi kuongoza sana miaka ya nyuma jigga akawa anafuata..then jigga akaja kukaa juu "" yeye akawa namba 2 ...ghafla akatokea 50 akawashusha nakukaa juu..kama miaka 2 hvi ..but jigga akajakumshusha ....jigga akatawala mchezo kama miaka3 hivi ..didy akajakurudi tena juu"" miaka ya hvi karibuni wote walipigwa kikumbo na dr.dree baada ya ujio wa beat by dre na cm za window "" didy akamshusha tena dre nakukaa hapo juu..mpka mwaka huu ameshushwa tena....so atarudi tu ..jamaa ni genius
kwaio wanapokezana vijiti...nliona wanagonga cheers kwenye sherehe ya jigga
 
didy atarudi soon tu hapo...hiyo michezo keshaizoea ...alishawahi kuongoza sana miaka ya nyuma jigga akawa anafuata..then jigga akaja kukaa juu "" yeye akawa namba 2 ...ghafla akatokea 50 akawashusha nakukaa juu..kama miaka 2 hvi ..but jigga akajakumshusha ....jigga akatawala mchezo kama miaka3 hivi ..didy akajakurudi tena juu"" miaka ya hvi karibuni wote walipigwa kikumbo na dr.dree baada ya ujio wa beat by dre na cm za window "" didy akamshusha tena dre nakukaa hapo juu..mpka mwaka huu ameshushwa tena....so atarudi tu ..jamaa ni genius
Daah...!!! Ebana hawa jamaa ni washkaji zako nini..?? Naona unawaelezea kama ulisoma nao vile au mnashindaga pamoja kitaa...!!

Una kazi sana mkuu...!!
 
Back
Top Bottom