Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

Mada nzuri sana hii! Nashangaa hata huko majeshini wamejaa watu wafupi kama nyundo! Matokeo yake jeshi linadharauliwa tofauti kabisa na enzi za Mwl. Kweli hili ni janga la taifa. Na mimi ni mfupi ujue.
 
Sidhani kama unaweza kereka kufikia hatua ya kusema eti unapitia maisha magumu,how?

Unaweza kereka kweli na ufupi ukapata stress? Huu ni uongo sasa.
 
Hupendi Mwanamke awe superior?
 
Utakua mwalimu wa chuo..sio mwalimu wa ufala p/s.

#MaendeleoHayanaChama
Hahaha watu wanashindwa kuelewa hii kada ipoje,Ndo maana kila mara utasikia watu wanawaponda walimu.Walimu wenye msongo wa mawazo na fukara ni wale wanaoishi na kufanya kazi huko vichakani haijalishi anafundisha chuo,Secondary au Primary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…